Nikinunua gari Zanzibar

Nikinunua gari Zanzibar

Usafiri siwezi jua gharama zake ila kwa Kodi utalipa kile ambacho yeye hakulipia...mfano ikiwa huko bara ushuru ni milion 8 na huku kisiwani ushuru ni milion mbili,hivyo ukiichukua kuipeleka bara itakubidi ulipie shilling milion 6 kufidia ule upungufu
 
Correct
 
na kodi ya scrap ipoje mkuu?ila kutafuta gari iliyokufa kabisa ya 2004 pia ni mtihani mpya...
Kama inatembea kama Kigali cha kutumia gari kwa muda ni kama ni laki 3. Lkn bora ukaulize tra utuletee majibu hapa.

Na crap ni maelewano tu si unajua nchi ya kuchukua chako mapema
 
Back
Top Bottom