Ila ngoja, wakati wa tukio unajisikia vibaya kufanya ivo au unaenjoy tu??jamani naombeni msaada wenu mm nkila denda kwa demu wangu lazima asubuh niamke tumbo linasumbua sana mithili ya mtu aliyevimbiwa au kama limejaa gesi sjajua tatizo nini kwa anayejua naomba msaada wake
Hahahaha nimecheka sana mkuuUnauhakika wote mu wasafi wa vinywa? Maana kuna watu wakikuongelesha tu unalewa
Siku zenyewe ziko wapi! Cheka mkuuHahahaha nimecheka sana mkuu
[emoji23][emoji23]we jamaa
Unakamua sana,jaribu kupunguza,au labda jaribu kunywa vinywaj vinavyopunguza ges mwilin kma vlle soda n,k baada ya kula dendajamani naombeni msaada wenu mm nkila denda kwa demu wangu lazima asubuh niamke tumbo linasumbua sana mithili ya mtu aliyevimbiwa au kama limejaa gesi sjajua tatizo nini kwa anayejua naomba msaada wake
Ebu acha denda ujaribu chumvini...jamani naombeni msaada wenu mm nkila denda kwa demu wangu lazima asubuh niamke tumbo linasumbua sana mithili ya mtu aliyevimbiwa au kama limejaa gesi sjajua tatizo nini kwa anayejua naomba msaada wake
Pole sana. Kula denda kunahitaji uhakika wa usafi wa kinywa wa hali ya juu, mdomo wa mtu huhifadhi uchafu mwingi na bakteria wengi huzagaa kwenye fizi ulimi na meno, sasa kuvamia mtu usiyemjua umakini wake katika usafi wa kinywa ni kujiingiza kwenye maambukizo, kwa wapenzi ni vizuri kujiandaa kwa usafi wa kinywa pamoja na sehemu mbalimbali zitakazohusika kabla ya kumkabili mwenzio, kuna mtu hajui hata kupiga mswaki unaanzaje kumla denda?. Wakati fulani niliwahi kuona mtu aliyeoza mdomo kwa kile kilichoelezwa kuwa amepata maambukizo baada ya kunyonya sehemu za siri la mpenzi wake. Ni vizuri kujihadhari na mapenzi yasio ratibiwa ili kujiepusha na maradhi mbalimbali.Jamani naombeni msaada wenu,
Mimi nikila denda kwa msichana wangu lazima asubuhi niamke tumbo linasumbua sana mithili ya mtu aliyevimbiwa au kama limejaa gesi.
Sijajua tatizo nini, kwa anayejua naomba msaada wake.
nashukuruPole sana. Kula denda kunahitaji uhakika wa usafi wa kinywa wa hali ya juu, mdomo wa mtu huhifadhi uchafu mwingi na bakteria wengi huzagaa kwenye fizi ulimi na meno, sasa kuvamia mtu usiyemjua umakini wake katika usafi wa kinywa ni kujiingiza kwenye maambukizo, kwa wapenzi ni vizuri kujiandaa kwa usafi wa kinywa pamoja na sehemu mbalimbali zitakazohusika kabla ya kumkabili mwenzio, kuna mtu hajui hata kupiga mswaki unaanzaje kumla denda?. Wakati fulani niliwahi kuona mtu aliyeoza mdomo kwa kile kilichoelezwa kuwa amepata maambukizo baada ya kunyonya sehemu za siri la mpenzi wake. Ni vizuri kujihadhari na mapenzi yasio ratibiwa ili kujiepusha na maradhi mbalimbali.
una enjoy tu ila kesho yake balaaIla ngoja, wakati wa tukio unajisikia vibaya kufanya ivo au unaenjoy tu??