Nikinywa pombe silewi tatizo ni nini?

Ukibahatika kupata maziwa ka kitimoto tatizo lako litaisha mara moja.
 
Je mke wako anakushaurije
umepuza ushauri wa familia pokea walemvi wenzako asiyefunzwa na familia ulimwengu utamfunza
mie nakushauri uokoke uhakikishe anayekuombea anaweka mguu hapo kichwani na Wakimaliza wakuchape unaweza ukaacha na mkeo akupe adhabu ya kukunyima kale kamchezo unaweza ukawaza beyond the box yani unawekeza kwenye pombe familia vp
 
Haulewi kwa 7bu ushakuwa sugu yaani kichwa chako kishaizoea alcohol kwa hiyo kinachukulia kawaida tu, chamsingi na cha secondari braza jitahidi uache kuwa cha pombe kwani hatua uliofikia ni mbaya sana unapaswa kumrudia Mungu "UNYWAJI POMBE KUPITA KIASI NI HATARI KWA AFYA YAKO"
 
mapafu na ini vitakufa na utaumwa sana na utapata maumivu makali sana then utakufa kaka. pole
 

Wewe ni Bingwa
 
Matumizi ya pombe yaliongezeka pale niliposhindwa kukabili changamoto nilizokua napitia kwa kipindi kile na kujifanya kama hamna lolote.
Nimekunywa pombe sana jamn mda wangu mwingi nimeliutumia bar na bar karibia zote karibu nanyumbani nilifahamika.
Lengo nilikua nakunywa ili nione kama nitapata usingizi.Ilifika kipindi nilikua nakunywa na bado sipati usingi hapo ndo nikaona sasa upuuzi huu.
Nitafanyaje nishakua addict tena,baadae nikaanza kula dawa nimekula dawa kiukwel ilikua inanifanya nakosa hamu ya tungi.
Nachukua zangu pepsi big na joint zangu kazaa hapo kiukwel nikaanza punguza tungi.
Sema na dawa nilitokea kuielewa kiasi kwamba matumizi yakazidi.
Nashukuru zote vyote nimepunguza natumia nikiamua lakin sio eti nikae week mbili sijatumia hapan.
Lakn matatizo hayajaisha lakn nashukuru usingizi napata kwa sasa bila kutumia chochote.
 
'Matumizi ya pombe yaliongezeka pale niliposhindwa kukabili changamoto nilizokua napitia kwa kipindi kile na kujifanya kama hamna lolote'.

Ukweli uko hapo mkuu.

Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…