Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mtumiaji wa pombe kwa muda wa miaka 26 hivi kwa muda wote nimekuwa nikinywa castle lager kama pombe niipendayo na mara chache sana pombe kali na wine wakati nasoma O-Level nilikuwa nakunya mara chache weekend na siku ya shughuli nyumbani au shule, nilipo kwenda A-Lavel Mazengo sec kidogo intake iliongezeka kwani weekend karibia zote nilikuwa nakunywa na mara chache katikati ya wiki nilipokwenda chuo pale DIT nakumbuka siku nisipo kumywa nakuwa kama mjinga na mbaya sana nilikuwa siwezi kufanya mtihani bila ya kupata kidogo nakumbuka ikifika ijumaa nilikuwa nakuwa kama mwenda wazimu kama nikiwa sina hela
Baada ya kumaliza chuo nakumbuka niliamua kupunguza kunywa baada ya kuobwa sana na familia na nilipunguza kwa kiasi kikubwa sana kiasi hata week mbili au mwezi ulikuwa unapita bila kunywa wakati huo nafanya kazi.
Tatizo la lunywa kila siku lilianza tena muda mfupi kabla ya kuoa na mpaka sasa naweza kunywa castle lager 15 nikanchanganya na konyagi lakini silewi zaidi ya kuchamka kidogo basi.
Ongeza ziwe 30 na udouble Konyagi LABDA utalewa...
'Matumizi ya pombe yaliongezeka pale niliposhindwa kukabili changamoto nilizokua napitia kwa kipindi kile na kujifanya kama hamna lolote'.Matumizi ya pombe yaliongezeka pale niliposhindwa kukabili changamoto nilizokua napitia kwa kipindi kile na kujifanya kama hamna lolote.
Nimekunywa pombe sana jamn mda wangu mwingi nimeliutumia bar na bar karibia zote karibu nanyumbani nilifahamika.
Lengo nilikua nakunywa ili nione kama nitapata usingizi.Ilifika kipindi nilikua nakunywa na bado sipati usingi hapo ndo nikaona sasa upuuzi huu.
Nitafanyaje nishakua addict tena,baadae nikaanza kula dawa nimekula dawa kiukwel ilikua inanifanya nakosa hamu ya tungi.
Nachukua zangu pepsi big na joint zangu kazaa hapo kiukwel nikaanza punguza tungi.
Sema na dawa nilitokea kuielewa kiasi kwamba matumizi yakazidi.
Nashukuru zote vyote nimepunguza natumia nikiamua lakin sio eti nikae week mbili sijatumia hapan.
Lakn matatizo hayajaisha lakn nashukuru usingizi napata kwa sasa bila kutumia chochote.