elia stephen
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 263
- 82
Mara nyingi ninapokunywa soda au vitu vyenye sukari sukari haswa vinywaji huwa nakojoa mkojo mtamu sana.nimejaribu kuchek sukari lakini iko normal,lakini pia ninakuwa na uzito mkubwa sana ukilinganisha na urefu wangu.nina futi tano na nina kilo 75 na umbo langu ni la kawaida kwani ninacheza mpira na mazoezi mengi kwa sana.naombeni msaada wenu
Jaribu kunywa mkojo uone utaanza kukojoa soda tena au mkojo
Wewe ni tunu ya taifa coca cola wakuchukue na azam bread maana unakojoa soda unakunya mamikate matamu hatariii
Mara nyingi ninapokunywa soda au vitu vyenye sukari sukari haswa vinywaji huwa nakojoa mkojo mtamu sana. Nimejaribu kuchek sukari lakini iko normal, lakini pia ninakuwa na uzito mkubwa sana ukilinganisha na urefu wangu.
Nina futi tano na nina kilo 75 na umbo langu ni la kawaida kwani ninacheza mpira na mazoezi mengi kwa sana.
Naombeni msaada wenu