Nikinywa soda nakojoa mkojo mtamu kama hiyo soda

Nikinywa soda nakojoa mkojo mtamu kama hiyo soda

elia stephen

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
263
Reaction score
82
Mara nyingi ninapokunywa soda au vitu vyenye sukari sukari haswa vinywaji huwa nakojoa mkojo mtamu sana. Nimejaribu kuchek sukari lakini iko normal, lakini pia ninakuwa na uzito mkubwa sana ukilinganisha na urefu wangu.

Nina futi tano na nina kilo 75 na umbo langu ni la kawaida kwani ninacheza mpira na mazoezi mengi kwa sana.

Naombeni msaada wenu
 
Mara nyingi ninapokunywa soda au vitu vyenye sukari sukari haswa vinywaji huwa nakojoa mkojo mtamu sana.nimejaribu kuchek sukari lakini iko normal,lakini pia ninakuwa na uzito mkubwa sana ukilinganisha na urefu wangu.nina futi tano na nina kilo 75 na umbo langu ni la kawaida kwani ninacheza mpira na mazoezi mengi kwa sana.naombeni msaada wenu

Sijaelewa, hiyo tabia ya kuonja mkojo umefanya toka lini?
 
Msaada wa kuacha kunywa soda? Msaada wa kukojoa mkojo mchungu au wa kawaida? Msaada wa kuacha kunywa soda? Fafanua mkuu
 
Mkuu kosa ulilolifanya ni kunywa MKOJO... jaribu kuacha iyo tabia utakua normal
 
Mimi naomba kufahamu motivation factors ambazo zilikufanya uonje mkojo wako na kugundua unakuaga mtamu ukishakunywa soda! Ni kwamba mwanzoni kabisa uligundua unanukia soda na hivyo ukashawishika kuuonja, au?
 
POLE SANA NDUGU YANGU, IYO NDO INAITWA DIABET AU KISUKARI, ACHA MARA MOJA KUNYWA VITU VYENYE SUKARI, SEMA BASI KWA SODA ZOTE, JUICE ZOTE, BIA ZOTE , WALI, SEMBE, MIWA, MKATE N.k, AMIA KULA DONA, BROWN BREAD, MATANGO, KUNYWA MAJI MENGI N.k
 
hivi, inamaanisha umeuonja mkojo au umepimwa au vipi?umejuaje mkojo ni mtamu?ni vipimo au?
 
Blood sugar umepimia wapi kaka? Kama ni hospitali basi sijui tatizo lako ni lipi ila kama sio basi nenda hospitali ukacheki vizuri.

Pili, punguza hivyo vitu vya sukari huenda muda unaoenda kupima unakuwa hujatoka kunywa hizo soda au coincidentally tu unakuwa umebalance blood sugar!
 
Wewe ni tunu ya taifa coca cola wakuchukue na azam bread maana unakojoa soda unakunya mamikate matamu hatariii
 
duuuh hiyo ni kisukari kaka nenda hata hospitali hata 3 ili upate jibu kamili maana hizo ndio dalili zake
 
Jaribu kunywa mkojo uone utaanza kukojoa soda tena au mkojo

hahahahaha aiseee hiii ndio jf bana.
utakosa jibu la tatizo lako.lakini huwezi kosa kufurahia na kucheka aiseee full shangwe
 
Wewe ni tunu ya taifa coca cola wakuchukue na azam bread maana unakojoa soda unakunya mamikate matamu hatariii

.....tunu ya taifa:shock🙁wasimsahau kwenye katiba mpya)

...huyu hana shida wakija wageni wasiotumia soda za tbl
 
Mara nyingi ninapokunywa soda au vitu vyenye sukari sukari haswa vinywaji huwa nakojoa mkojo mtamu sana. Nimejaribu kuchek sukari lakini iko normal, lakini pia ninakuwa na uzito mkubwa sana ukilinganisha na urefu wangu.

Nina futi tano na nina kilo 75 na umbo langu ni la kawaida kwani ninacheza mpira na mazoezi mengi kwa sana.

Naombeni msaada wenu

Jaribu kula ice cream za chocolate halafu uonje mavi yako pia ukinya. Utapata jibu.
 
Back
Top Bottom