Nikiona paja la mke naona kawaida ila la jirani moyo unaruka, kwanini?

Nikiona paja la mke naona kawaida ila la jirani moyo unaruka, kwanini?

Hii ni kwa wanaume tu wadau ,povu ruksa,.
Yani moyo unaparika wakati wife ni mzuri tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah....ndiyo wanaume wote walivyo...ni asili yao...Ni Kama ilivyo asili ya wanawake kupenda kuvutia... Lakini kuna kupenda na kutamani..usivichanganye[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Sababu ya ushamba tu mbona sisi madaktari tunaona na kuzishika papuchi nyingi tu, tena za watu wa mataifa mbalimbali lakini hutakuta tunatembea suruali zetu zimetuna kwa mbele
hahaha kuna lijamaa akipata customer mkali alikua anagonga PV bila gloves aisee watu wana roho ngumu
 
Back
Top Bottom