Wakivaa vimodo vinavyowana wanasema hawana nidhamu.Hizo ni fashion za gen Z sasa wewe mbabu utavaaje si utaonekana kituko, wenyewe wanapendeza tukubali tu zama zetu zipo ukingoni tuwaache vijana wafurahi wakati wao.
Ni kama TU ninyi WA 2000Vitoto vya 2005
Macheni kama harmonize😂😂😂Napenda fashion sana na huwa nazingatia codes sana kwenye kuvaa ila sijawahi kuwa mpenzi wa mavitu makubwa makubwa maviatu,jeans pana, ma tshirt makubwa, makoti makubwa michain, bracet duh wasanii kazi wanayo,
Napenda nikivaa kitu mpaka mwenyewe nasema ehh hapa nimekaa kwenye code safi sio mavitu yanayokuchosha unajikuta unaongeza uzito maradufu
Macheni kama harmonizeNapenda fashion sana na huwa nazingatia codes sana kwenye kuvaa ila sijawahi kuwa mpenzi wa mavitu makubwa makubwa maviatu,jeans pana, ma tshirt makubwa, makoti makubwa michain, bracet duh wasanii kazi wanayo,
Napenda nikivaa kitu mpaka mwenyewe nasema ehh hapa nimekaa kwenye code safi sio mavitu yanayokuchosha unajikuta unaongeza uzito maradufu
Kudadeki zile chain ni nzito mtu anakuaje comforable aisehh 🤣🤣🤣Macheni kama harmonize😂😂😂
Kabla ya kufungua uzi 😄 🤣 😂 nilivyoona heading tu, nikajua tu lazima vitakua ni viatu hivi.Haya maviatu yana matatizo ya akili kwa vijana hivi mjachunguza.
View attachment 3454553
Hizi ni ma vitu ya vijana wa 2000.Haya maviatu yana matatizo ya akili kwa vijana hivi mjachunguza.
View attachment 3454553
Unakuwa simple man sio brother man sio bishoo , upo kati kwa kati ndio ujanja huo, hata madogo wapo hawashobok na mavitu mengi.Napenda fashion sana na huwa nazingatia codes sana kwenye kuvaa ila sijawahi kuwa mpenzi wa mavitu makubwa makubwa maviatu,jeans pana, ma tshirt makubwa, makoti makubwa michain, bracet duh wasanii kazi wanayo,
Napenda nikivaa kitu mpaka mwenyewe nasema ehh hapa nimekaa kwenye code safi sio mavitu yanayokuchosha unajikuta unaongeza uzito maradufu
Unyama sana tena ukimkuta ana Vi dredHaya maviatu yana matatizo ya akili kwa vijana hivi mjachunguza.
View attachment 3454553
True man simple is classicUnakuwa simple man sio brother man sio bishoo , upo kati kwa kati ndio ujanja huo, hata madogo wapo hawashobok na mavitu mengi.
Au Chukua slim fit jeans ya light blue vaa na shirt ya kijani hapo chini vaa na simple raba tu nyeupe au black then juu unaweze unaweza ongezea na kata mikono sweta zile na tai safi it kills man ,Unakuwa simple man sio brother man sio bishoo , upo kati kwa kati ndio ujanja huo, hata madogo wapo hawashobok na mavitu mengi.