Nikionaga kijana kavaa haya maviatu

Yaani mimi naona wanapendeza sana tu,
Sio wewe tu hata mimi, sijawahi kuona kama ni mbaya zaidi naona ni kwenda na fashion iliyopo.
 
KIla zama na mambo yao kukikuwa na enzi ya Ndula, ilaja La kuchumpaa....

Ujana una mengi...
"La kuchumpa la kumpa lama"
"Hilo likiatu likubwa kwenda juu apewe Rama/Ramadhani"
 
Hizo ni fashion za gen Z sasa wewe mbabu utavaaje si utaonekana kituko, wenyewe wanapendeza tukubali tu zama zetu zipo ukingoni tuwaache vijana wafurahi wakati wao.
Wapendeze wapi!

Labda kama hujui maana ya kupendeza.

Haiwezekani uvae midungu kama hiyo halafu upendeze.
 
Sawa sawa ,kama zile Rise On ( laizoni)
Haswaa
Tulikuwa na mashati ya kubana, na Afro hair
Leo sishangai kijana akivaa au kufanya chochote kwani kila zama…..:

Kuna msichana mbongo nilimuona kwa jamaa mmoja huku nje
Alikuwa ameweka macho ya paka ya bandia
Yanatisha ila ukimzoea unaona the other side of beauty
 
huwa wanapendesa sana, hata yule Diva mtangazaji huwa anaweka hizo lens za macho za rangi tofauti tofauti
 

huwa wanapendesa sana, hata yule Diva mtangazaji huwa anaweka hizo lens za macho za rangi tofauti tofauti

huwa wanapendesa sana, hata yule Diva mtangazaji huwa anaweka hizo lens za macho za rangi tofauti tofauti
Ni kweli wanapendeza ila kwa wengine Ina madhara yake makubwa.

Kama jicho au macho yatapata infection tu basi.
Mtu anaweza kupofuka

Wanangu nimewaambia madhara yake pia na hawana hamu kabisa ya kuweka
Inataka uangalifu na usafi wa hali ya juu
 
Huwa nawaona kama mapunguani,kijana mwenye akili timamu huwezi mkuta amevaa hayo madude na msuruali mkubwa kama shuka la mashineni
 
Vijana wa Dsm hao. Mwanangu aliniambia baba ninunulie kama vile. Nikamwambia stop nonsense
Kuna mmoja hapa ni bonge nyanya akivaa huo myebo na msuruali bwanga anakuwa km meli ya kivita

Viko sawa kwa wenye miili midogo na wafupi
 
Hakuna wakukupigia ngoma kukwambia umekua. Ukishaona huelewi vitu kama hivi ujue ndo tayari uzee unacome. Nilikua naweza kusikiliza mziki 24hrs yani nasoma huku nna headfone sahivi nyimbo saa 1 tu nasikia makelele bora niweke Aljazeera, Safari channel au Nat geo wild
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…