Nikiongea muda mfupi koo linakauka na koo linaanza kukwaruza

Mzee makoti

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2016
Posts
3,482
Reaction score
4,673
Ni hivi,

Mimi nikiongea sana au hata story yakuadithia kwa dakika kadhaa huwa koo linakauka na sauti inapotea na kukwaruza kwaruza,

Ni kwann eti? Au kuna chakula natumia ndo chanzo cha yote,maana bia sio mnywaji sanaa,inaweza kupita miezi au mwezi nikanywa tatu au nne tu,
 
Ni hivi

Acha kwenda chumvini, utaua koromero.
 
Mie siwezi piga kelele, mtu akiwa mbali nikiita kwa nguvu mara 5,6 hivi koo litakauka na maumivu fulani napata.
 
Back
Top Bottom