Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Acha kwenda chumvini, utaua koromero.Ni hivi
Mimi nikiongea sana au hata story yakuadithia kwa dakika kadhaa huwa koo linakauka na sauti inapotea na kukwaruza kwaruza,
Ni kwann eti? Au kuna chakula natumia ndo chanzo cha yote,maana bia sio mnywaji sanaa,inaweza kupita miezi au mwezi nikanywa tatu au nne tu,
Una dhambi sana mkuu 😂Tatizo ni BJ
Mimi sio daktariUna dhambi sana mkuu [emoji23]
nini?Tatizo ni BJ
MmhAcha kwenda chumvini, utaua koromero.
Hapa sawa!Punguza vinywaji baridi
Ndio mkuuUsipo ongea halikauki?
Situmii kabisaacha konyagi
Hii itakua kweli!Vinywaji baridi husababisha kadhia hii wakati mwingine
Muache kwenda uvinza mnaingiza chumvi kali na magadi mengi kooni 🤣🤣🤣Mie siwezi piga kelele, mtu akiwa mbali nikiita kwa nguvu mara 5,6 hivi koo litakauka na maumivu fulani napata.