Nikipata milioni 6 tu nimeshatoboa!

Nikipata milioni 6 tu nimeshatoboa!

Mipango sio matumizi, kwenye hii Dunia panga uwezavyo ila kufikia lengo muachie Mungu.
Mimi nilishawahi kuomba nipate hata M2 tu, nikapata M13, ila baada ya mwezi ni masikini sina hata mia, hapo ujue mimi sio mlevi wa aina yoyote ile.
Kwahiyo ukiipata hiyo hela omba ulinzi wa Mungu, Kwakuwa hiyo kazi utaifanya na binadamu.

Akili yako tu.
Mungu hubariki Kazi za mikono yako.
Ukipambana unaweza.

#YNWA
 
6m ni nusu ya kipato changu kwa mwezi na mimi sijaiba hata kuku zako
Sio wote majizi duniani na hizo ni fikra za kumasikini

Mtoto wangu wa miaka 12 ana account yake mara 4 ya hizo na sio za wizi bali namuwekea kila mwezi kwa jasho langu

Najua hii Dunia tunaiacha lazima niwaandalie maisha yao upo hapo
Msaidie mwenzako au wewe ndiye huyo Muarabu wa Ilala?
 
Back
Top Bottom