Mipango sio matumizi, kwenye hii Dunia panga uwezavyo ila kufikia lengo muachie Mungu.
Mimi nilishawahi kuomba nipate hata M2 tu, nikapata M13, ila baada ya mwezi ni masikini sina hata mia, hapo ujue mimi sio mlevi wa aina yoyote ile.
Kwahiyo ukiipata hiyo hela omba ulinzi wa Mungu, Kwakuwa hiyo kazi utaifanya na binadamu.