ROOM 47
JF-Expert Member
- May 23, 2022
- 2,301
- 7,460
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, yaani nikipata mshahara tu gafla namuona wife anataka kugeuka kuwa ngedere, yaani anabadilika kabisa huwezi amin. Yaani nataman hata kumpeleka Hifadhi ya Mikumi.
Kwanza masikio yake nayaona yanataka kuwa marefu kama ngedere, manyoya ya mgongo yanamtoka, nyusi zinaongezeka kama paka mtu basi tafrani.
Huwa najiami kwa kumfungia ndani kabisa hata kwa siku tano na mimi kwenda mbali kidogo kutafuta wafuga ngedere wenzangu.
Aaahhaah Java, Kitamba Cheupe, Barakuda, Kidimbwi, kimbembe mshahara ukiishaa sasa naanza kumuona wife anachange kidogokidogo mara namuona kama Beyonce wa Jay Z, mara naanza kumuona Rihanna, mara paah namuona eeh huyu si ndiyo wife huyu tena chaguo langu alilonipa Sir God?
Jokes, jokes!