Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu..yaani nikipata mshahara tu gafla namuona wife anataka kugeuka kua ngedere yaani anabadilika kabisa huwez amin yaani nataman hata kumpeleka hifadh ya mikumi kwanza
Masikio yake nayaona yanataka kua marefu kama gendere ,manyoya ya mgongo yanamtoka ,nyusi zinaongezeka kama paka mtu basi tafulani
Hua najiami kwa kumfungia ndani kabisa hata kwa siku tano na mim kwenda mbali kidogo kutafuta wafuga gendere wenzangu ..aaahhaah java, kitamba cheupe,barakuda,kidimbwi....
Kimbembe mshahara ukiishaa sasa naanza kumuona wife anachange kidogokidogo mara namuona kama Beyonce wa jay z mara naanza kumuona rihana mara paah namuona eeh huyu si ndo wife huyu tena chaguo langu alonipa Sir God........jokes jokes