Nikipata mshahara tu ghafla mke wangu namuona kama anageuka kuwa ngendere

ROOM 47

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2022
Posts
2,301
Reaction score
7,460
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, yaani nikipata mshahara tu gafla namuona wife anataka kugeuka kuwa ngedere, yaani anabadilika kabisa huwezi amin. Yaani nataman hata kumpeleka Hifadhi ya Mikumi.

Kwanza masikio yake nayaona yanataka kuwa marefu kama ngedere, manyoya ya mgongo yanamtoka, nyusi zinaongezeka kama paka mtu basi tafrani.
Huwa najiami kwa kumfungia ndani kabisa hata kwa siku tano na mimi kwenda mbali kidogo kutafuta wafuga ngedere wenzangu.

Aaahhaah Java, Kitamba Cheupe, Barakuda, Kidimbwi, kimbembe mshahara ukiishaa sasa naanza kumuona wife anachange kidogokidogo mara namuona kama Beyonce wa Jay Z, mara naanza kumuona Rihanna, mara paah namuona eeh huyu si ndiyo wife huyu tena chaguo langu alilonipa Sir God?

Jokes, jokes!
 
Mwishoni ukashtua kabisa kwamba ni chai
 

Mmm
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wamevurugwaaaa wallah lol
 
Siku akifa ndio utajua alikua malaika
 
Yani wewe ni Mimi kabisaaaa mzee wangu
 
Yani mim ningekua nakuvizia ukishapata kamshara nakuwekea dawa ya usingizi unakuja kushtuka jumatatu pesa yako yote nmeifanya vyenye nataka.
Alaf sema nn mke wako bado sio ngedere ni kobe hajui janja janja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…