Nikipata mshahara tu ghafla mke wangu namuona kama anageuka kuwa ngendere

Yani mim ningekua nakuvizia ukishapata kamshara nakuwekea dawa ya usingizi unakuja kushtuka jumatatu pesa yako yote nmeifanya vyenye nataka.
Alaf sema nn mke wako bado sio ngedere ni kobe hajui janja janja
Utakuwa mchaga wewe
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimepita naona kila mtu anachrka, basi nisibaki nyuma..kuchrka ni afya[emoji1787][emoji1787]
 

Mke wako ni dada yangu[emoji23][emoji23]
Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…