Nikipata wasiwasi (worry) mwili mzima unasisimka na jasho kutoka

ni kawaida tu mbona
wengine hutetemeka ,hupatwa na kigugumizi, nk
 
Chunguza zaidi nyendo zako huenda hali hiyo inachagizwa na siri fulani uliyoificha ktk nafsi yako ambayo umeibeba kwa muda mrefu sasa waogopa watu wakiijua utafedheheka
 
Habari zenu wadau, mwenzenu nkiwa na wasiwasi mwili mzima unasisimka na jasho kutoka, mwenye kujua tatizo hili anijuze
Pole mkuu.
Je,1.Huwa unafanya mazoezi ya mwili Kama kukimbia au kutembea? na hufanyaje?
2.Ulaji wako ukoje?
3.Unastress? au ulikuwa na stress kipindi Cha nyuma??
Jibu maswali haho ndo tuone Ni tatizo gani na sababu Kisha tusaidiane jinsi ya kulitatua
 
Pole sana dada yetu.

Inawezekana kuna jambo au mambo yaliharibu kidogokidogo mfumo wako wa kupeleka taarifa hasi au sauti kubwa ubongoni.
Nakushauri ukapime presha au ukawaone wanasaikolojia
 
Pole mkuu.
Je,1.Huwa unafanya mazoezi ya mwili Kama kukimbia au kutembea? na hufanyaje?
2.Ulaji wako ukoje?
3.Unastress? au ulikuwa na stress kipindi Cha nyuma??
Jibu maswali haho ndo tuone Ni tatizo gani na sababu Kisha tusaidiane jinsi ya kulitatua
Umemaliza mkuu
 
1.Mazoezi hua sifanyi
2.Ulaji wangu ni wa kiasi tuu sio sana
3.Stress ninayo babaangu tena ilikua kali kipindi cha nyuma, nimetibiwa mpaka ikashuka
 
Ok pia nna wasiwasi mno kuzidi kipimo, hata vitu vya kawaida nakua na wasiwasi navyo

Zote hizo ni dalili za panic attack. Hofu na wasiwasi ndio sababu kuu ya tatizo. Hata hospitali ukienda utapewa dawa za depression kutuliza akili.
Mara nyingi therapies zinasaidia kufanya mind iwe positive, hapo tatizo litaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…