Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Nikiulizwa tu Mungu yupo? Kabla sijajibu natetemeka na jasho mpaka meno yanatoa jasho , kulikoni ! Wasiwasi wangu naogopa kusema hayupo eti nitachekwa sijui kama ni ushamba au vipi !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zote hizo ni dalili za panic attack. Hofu na wasiwasi ndio sababu kuu ya tatizo. Hata hospitali ukienda utapewa dawa za depression kutuliza akili.
Mara nyingi therapies zinasaidia kufanya mind iwe positive, hapo tatizo litaisha.
Huendi mbinguni na kifo kitakukomeshaNikiulizwa tu Mungu yupo? Kabla sijajibu natetemeka na jasho mpaka meno yanatoa jasho , kulikoni ! Wasiwasi wangu naogopa kusema hayupo eti nitachekwa sijui kama ni ushamba au vipi !
Hospitali ipi nzuri ya kwenda?
Ulitibiwa kwa Aina gani ya dawa1.Mazoezi hua sifanyi
2.Ulaji wangu ni wa kiasi tuu sio sana
3.Stress ninayo babaangu tena ilikua kali kipindi cha nyuma, nimetibiwa mpaka ikashuka
Njoo in box tuhojiane uelekezwe tiba ndugu pole yalisha wakuta wengi sio Wewe tuHospitali ipi nzuri ya kwenda?
Tatizo siyo hospitali mkuu Cataliyya Ni aina gani ya tabibu utakutana nae na ameamkaje siku hiyo.wengine no discussion. Ni kukulundikia midawa tuuu Tena mikali mikali!Hospitali ipi nzuri ya kwenda?
Ni mojawapo ya athari katika hatua za makuzi... Hiyo hali itaisha yenyewe... Wengine hulia, kutetemeka ama mwili kukakamaaHabari zenu wadau, mwenzenu nkiwa na wasiwasi mwili mzima unasisimka na jasho kutoka, mwenye kujua tatizo hili anijuze