Nikipata wasiwasi (worry) mwili mzima unasisimka na jasho kutoka

Nikiulizwa tu Mungu yupo? Kabla sijajibu natetemeka na jasho mpaka meno yanatoa jasho , kulikoni ! Wasiwasi wangu naogopa kusema hayupo eti nitachekwa sijui kama ni ushamba au vipi !
 
Zote hizo ni dalili za panic attack. Hofu na wasiwasi ndio sababu kuu ya tatizo. Hata hospitali ukienda utapewa dawa za depression kutuliza akili.
Mara nyingi therapies zinasaidia kufanya mind iwe positive, hapo tatizo litaisha.

Hospitali ipi nzuri ya kwenda?
 
Wasiwasi wangu ni mbingu! Huenda ni mambo ya kufikirika tu ! Kinachonitetemesha ni huu Uafrika wangu wa kutokuwa na msimamo . Nina wiki tangu niwe muumini wa Karl Marx na mambo ni shwari !
 
Hii ni Anxiety.

Ni swala la saikolojia zaidi. Ukifika kwa mwanasaikolojia itakua ni kuongea, kutafuta chanzo au kushughulika na swala lililopelekea anxiety kuanza.
 
Nakumbuka nilikuaga najua ni presha wakati nikiwa na hiyo hali ili nikipimwa nakutwa pressure ikk normal. Nilikuja kujua baadae kabisa inaitwa panic attack
 
T
Hospitali ipi nzuri ya kwenda?
Tatizo siyo hospitali mkuu Cataliyya Ni aina gani ya tabibu utakutana nae na ameamkaje siku hiyo.wengine no discussion. Ni kukulundikia midawa tuuu Tena mikali mikali!
 
Habari zenu wadau, mwenzenu nkiwa na wasiwasi mwili mzima unasisimka na jasho kutoka, mwenye kujua tatizo hili anijuze
Ni mojawapo ya athari katika hatua za makuzi... Hiyo hali itaisha yenyewe... Wengine hulia, kutetemeka ama mwili kukakamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…