Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Kama Nia ni kuwafuga kienyeji, peleka kuku chotara, watahimili zaidi mazingira ya kujitafutia chakula.Wakuu hivi kwa mazingira ya kijijini ambapo kipato cha wengi ni cha chini, kuku wa chotara wataweza kuboresha maisha ya mwanakijiji?
Na kama sio hao, je ni kuku wa aina gani ni chaguo bora zaidi?
Kwa ajili ya kufugaMada yako ni kama haujiongezea nyama nyama sana, mkuu. Unawapeleka kijijini kwaajili ya kufuga au kuwauza? Labda tuanzie hapo ili tuone namna ya kukushauri.
AsanteVifaranga 100 vya chotara unaweza nunua kwa 150k
Hao huna uhakika utapata matetea wangapi na majogoo wangapi.
Pia hadi wakupatie vifaranga ni baada ya miezi 7.
Pia kuwatunza hadi waanze kukupatia vifaranga ni gharama pia.
Kwa fedha hiyo utapata matetea 20 ya 5,000/=, na majogoo 2 ya 25,000/=.
Hapo wewe hauhangaiki nao chakula, ni kuhesabu tu vifaranga. Baada ya mwaka banda hazitoshi.
Kwenye ukuaji kuna namna yakuwafanya wakienyeji wakawa wakubwa ndani ya miezi 3 ukauza?msosi upi?Vifaranga 100 vya chotara unaweza nunua kwa 150k