Nikipenda tena nigeuke nguruwe

Nikipenda tena nigeuke nguruwe

tafuta plan B yakumzuia mianya ya yeye kuchepuka mzigo wako mwenyew unawaachia vibaka kizembe au huna uchungu nao? hainaga kufeli pigania penzi lako ushaambiwa fisi wanejaa kila mahali ukisizubaa tu wanamkwapua
 
Mmmmh pole saana mkuu viatu vyako havivaliki ......
Ila mda mwingine sisi wanawake tunashida sanaa mungu atusaidie tuu
Pole saana
 
Navyojua wafanyabiashara wanaofuata mizigo China, huwa wanalala zaidi ya mmoja ili ku save hela,.
Hivyo furahi tu kwan huenda hata nauli kalipiwa.
 
Mmmmh pole saana mkuu viatu vyako havivaliki ......
Ila mda mwingine sisi wanawake tunashida sanaa mungu atusaidie tuu
Pole saana

mna shida mpaka mnataka
sisi wote tuwe nguruwe
 
Nilimpenda sana mke wangu sababu ya tabia zake na upole wake juu yangu kumbe nilikuwa sijajua yeye ni nyoka.

Nimemkuta yuko na maisha ya chini sana nimesaidia yeye na ukoo wake nikasema nimpe mtaji kaanza biashara sasa nyota imemwakia China kila leo.

Mungu sio Lemutuz juzi nampigia simu kwenye mtandao wa We chat mtu hapokei. Kwakuwa nilijua yuko hotel gani nikagoogle hotel nikapata number eeeh nikapiga reception kuomba waniunganishe nae kapokea mwanaume nilivyosikia sauti ya mwanaume nikaongea kama mchina can I talk to ..... ;nikamtajia jina. Mke kapewa simu kusikia sauti yangu kakata simu.

Roho inaniuma sana sina nguvu maumivu haya ni mazito ukitoa msiba wa mamangu hakuna naweza fananisha na maumivu haya siku nikipenda tena nigeuke nguruwe nimeweka nadhiri.
Pole sana mkuu
 
Kataa ndoa oyeeeee
 
Pole sana mkuu. Unaambiwa mwanamke ni mdhaifu hujui usemi huu una maana gani, hawa viumbe hata uwafanyie nini wape kila kitu hata mpe Dunia hii yote mwambie yako. Atadanganywa na kitu kidogo tu. Atasahau vyote.
Hahaha
 
Back
Top Bottom