Nikipigwa na baridi tumbo lina unguruma sana

kamba0719

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Posts
804
Reaction score
1,906
Nina tatizo kama miezi mitatu iliyopita, nikipigwa na baridi tumbo lina unguruma na kama baridi likiwa kali sana nafikia hatua mpaka na harisha. Nilikuwa nijue tatizo nini?

Nikishaenda Hospital wakanipima wakaniambia sina tatizo, ila bado nikipigwa na baridi tumbo linasumbua.
 
Unashinda muda mrefu pasipo na kula chakula tumboni?
 
Mimi pia nikikaa sehemu yenye upepo na tumbo liko tupu huwa kama linajaa gesi na kuanza kuunguruma,nimeshazoea,naona ni kawaida ingawa inaweza kuwa ni tatizo...
 
Nina tatizo kama miezi mitatu iliyopita, nikipigwa na baridi tumbo lina unguruma na kama baridi likiwa kali sana nafikia hatua mpaka na harisha. Nilikuwa nijue tatizo nini?

Nikishaenda Hospital wakanipima wakaniambia sina tatizo, ila bado nikipigwa na baridi tumbo linasumbua.
Ni Moja ya dalili kuu ya vidonda vya tumbo...

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom