Nikipona mchepuko anakula kibuti maana haridhiki

Umeisha aumua unakuja kutuuliza huku ujinga wa kiwango cha ukaoge wa cloud s FM kwenye take one
 
Mkuu,,nakuunga mkono kwa asilimia zote....akatafute wenye huo uwezo maana inawezekana ndo mchezo wake.
Pia uwe makini asije kukuendea kwa babu maana hawachelewi
 
Jishushe ili muende sawa usishindane nae kwa vile ni mkeo raha ya watoto muwalee kwa pamoja
Siwez jishusha kwa mwanamke niliyemtolea mahali never! Labd ntakua sio mkurya! Hata mungu atanishangaa maana alisema nitakuwa kichwa cha nyumb so nikijisusha ni dhambi kwa mungu
 
Mchepuko sio solution ya matatzo katika ndoa hilo fahamu hebu mkae muyajenge na mkeo labda umbali umesababisha mapenz kupungua mjue mnafanyaje naamini unampenda mkeo fanya hivo matatzo ya kimahusiano hayatakiwi kukaa muda mrefu bila kupata ufumbuzi
Wakati akisubiria kuyajenga kwa mkewe ameona awe anajipoza kwa mchepuko.
Pia huwezi jua chanzo cha kutokuwa vizuri na mkewe....pengine mke huko alipo ni mchepukaji aliyekubuhu
 
duuuh life iz not fair
yaan wengine tunahangaika na life jamaa anahangaika na madem
 
Hatuwez kusuruhishwa maana kila mmoja anajiona anaweza ishi bila mwenzake na vyeo anavyopanda ndo vinampa kibur zaid acha tuish hivi hivi na sina mpango wa kuoa tena
Na yeye anajiona ameshakuwa mwanaume ni hatariii ni kweli wanawake lazima tupate elimu tujimudu kiuchumi na kuweza kudai haki zetu ila inapofika kwenye ndoa lazima tuwe na utulivu kidogo ila saiv mwanamke kumuheshimu mumewe ni Sawa Sawa na tundu la sindano ni utata sasa mtaishi hivyo mpaka lini Kama mwislamu basi ukipata mkaelewana oa wa pili
 
duuuh life iz not fair
yaan wengine tunahangaika na life jamaa anahangaika na madem
Hayo ni mawazo yako! Kila kitu kina muda wake kutafuta hela hakuzuii kuwa kwenye mahusiano! Half usiwe unajudge mtu usiyemjua yawezekana income yako haifiki hata robo ya kwangu
 
Wakati akisubiria kuyajenga kwa mkewe ameona awe anajipoza kwa mchepuko.
Pia huwezi jua chanzo cha kutokuwa vizuri na mkewe....pengine mke huko alipo ni mchepukaji aliyekubuhu
Amesema mkewe amekuwa na dharau baada ya kupanda vyeo ila tatizo ambalo naliona ni watu kulea matatzo madogo madogo mwisho kuwa makubwa yaan any doubts ambayo itashow up lazima haraka mtafute solution mapema then mnasonga mbele so unakuta huyu kutokua poa ni Wife ni mkusanyiko wa mambo mengi tena madogo madogo
 
"Toa ndugu toa ndugu ulichonacho wewe; na Mungu anakuonaaaaaa!" Haya wote kwa pamoja: TOAA NDUGU TOAA NDUGU ULICHO--NACHO WEWE NA MUNGU ANAKUONAAAAAA!

Kuchunwa ni kuchunwa mbaya kuchunwa bila kuchuna kiongozi; kwa we endelea tu kufupia!

Ila kiongozi hilo la kwenda kufunga nyumba ni ushamba uliopitiliza sawa na ushamba wa kunyang'anya vitu ulivyokuwa umetoa kwa mapenzi yako mwenyewe.
 
Kinachokushinda ni kuongea nae? Mwanaume gani wewe? Mwambie ukweli. Kama ni mtu mwenye akili timamu atakuelewa.

Nb.kama hili ni tangazo basi kila la kheri.
 
Tatizo la kuwa na michepuko tegemezi acha nibaki na watu wazima tukaoshauriana maisha na hapo usikute kuna mpaka rangi anamgonga aiseee
 
Mkuu,,inawezekana mwanamke alobadilika baada ya kupanda vyeo akarudi ktk ukawaida wake?
Mi mke wa hivyo naona hana tofauti na wanaowakataa wachumba zao baada ya kumaliza chuo,,kupata kazi au kupata bwana mwenye uwezo zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…