Ni ukweli usiopingika kuwa CCM ni chama kikubwa sana . Kutokana na ukubwa huu ni rahisi sana kutokea misuguano ndani kwa ndani kwani kuna watu wa kila aina. Utaratibu uliotumika kipindi hiki umeweza na unakiacha chama kikiwa kimeimarika sana.
Kila mmoja alishuhudia kwa uwazi jinsi mchakato ulivyo endeshwa kwa umakini kwenye majimbo na kata. Kila mwana ccm alipata fursa ya kujinadi mbele ya wajumbe ambao ukweli kwa kiasi kikubwa ndio waliobeba maoni ya wananchi.
Kwa wale waliokua wamefanya kazi nzuri kwenye kipindi kilichopita wajumbe waliwapa nafasi nyingine. Kwa wale walio telekeza majimbo yao wakajikuta wameingia kwenye 18 za wajumbe. Hawana wakumlaumu.
Ukweli ni kwamba kwa wananchi wengi wameonyesha imani kubwa sana. Kwa wale waliokataliwa na wajumbe nawashauri kuwa wala wasijihangaishe kwenye vyama vingine kwani maoni ya wajumbe ndiyo maoni ya wananchi. Kukataliwa na wajumbe ni kukataliwa na wananchi hivyo wajitafakari walipojikwaa na wanaweza pata nafasi nyingine kipindi kingine.
Kwa walio aminiwa naamini kuna la kujifunza kwa walio kataliwa kwani 2030 si mbali. Pia natamani wote watangazwe kuwa wagombea ingawa kama kuna aliecheza rafu lazima taratibu za chama zifuatwe.
Hongera CCM, Hongera watia nia, Hongera wajumbe.
Note: Duniani pote siasa si kitu kirahisi. Ukiamua kuingia kwenye siasa lazima uwe na misuli. Hakuna Ice cream. Utambue machozi ya kwenye siasa ni sawa na machozi ya mwanajeshi aliepo vitani.
Rule of the game. Hakuna kulialia kwani umeichagua siasa mwenye. Huu ni ukweli mchungu ambao wanasiasa wengi hasa wa upinzani wanashindwa kukubaliana nao. Huna misuli ya siasa njoo tuungane kwenye kilimo cha matikiti. Usitafute huruma utachakaa kwani ni Nature.