Nikiri kwamba nilipoanza kusoma vitabu vya Robert Kiyosaki nilionekana kwa wapenda Hadithi kama nata

Nikiri kwamba nilipoanza kusoma vitabu vya Robert Kiyosaki nilionekana kwa wapenda Hadithi kama nata

wigo

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Posts
914
Reaction score
502
rich-dad-poor-dad.jpgPicture11-594x900.png92Jcd5oph6.png

Wapo watu wasiopenda kusoma wanaokosoa usomaji wa vitabu hivi. Hoja yao kubwa ni eti pesa hazipo vitabuni na kwamba vitabu hivi ni kujiburudisha nafsi tu na hakuna lolote.
Nikiri kwamba nilipoanza kusoma vitabu vya Robert Kiyosaki nilionekana kwa wapenda Fiction kama natafuta faraja.

Lakini nikasoma.

Rich dad poor dad

Cashflow Quadrant
Why we want you rich
Guide to Investment
Retire Young Retire Rich
The Bussiness of 21st century na kadhalika.

Lakini hatimaye Nikaona mabadiliko.
Kweli vitabu hivi vimebadili kabisa maisha yangu. Vilianza na kugeuza mtazamo wangu kwenye mambo ya fedha na baadae nikaanza kutendea kazi. Nimeona mabadiliko. ni vitendo.

Kama una tabia ya kusoma unaweza kutafuta vitabu vya Stephen Covey ambavyo kwa kweli nimeona mshindo kwa mwenendo wangu.

7 habits of highly effective people
7 habits of highly effective FAMILY
The 8th habit
First things first
The speed of trust

Nathamini watu ambao kushirikiana maarifa.

vitabu hivi vipo katika audio (AUDIO BOOKS) na E-BOOKS pia, vinapatikana dsm na mikoani kwa ujumla,pia tunakuletea pale ulipo dsm.hata mikoani tunakutumia kwa basi au DHL.

wasiliana nasi au oda leo :
0656 579305
0684 579305
email: wigotz@gmail.com

View attachment 108782View attachment 108783View attachment 108784

wapo watu wasiopenda kusoma wanaokosoa usomaji wa vitabu hivi. Hoja yao kubwa ni eti pesa hazipo vitabuni na kwamba vitabu hivi ni kujiburudisha nafsi tu na hakuna lolote.
nikiri kwamba nilipoanza kusoma vitabu vya robert kiyosaki nilionekana kwa wapenda fiction kama natafuta faraja.

lakini nikasoma.

rich dad poor dad

cashflow quadrant
why we want you rich
guide to investment
retire young retire rich
the bussiness of 21st century na kadhalika.

lakini hatimaye nikaona mabadiliko.
kweli vitabu hivi vimebadili kabisa maisha yangu. Vilianza na kugeuza mtazamo wangu kwenye mambo ya fedha na baadae nikaanza kutendea kazi. Nimeona mabadiliko. Ni vitendo.

kama una tabia ya kusoma unaweza kutafuta vitabu vya stephen covey ambavyo kwa kweli nimeona mshindo kwa mwenendo wangu.

7 habits of highly effective people
7 habits of highly effective family
the 8th habit
first things first
the speed of trust

nathamini watu ambao kushirikiana maarifa.

vitabu hivi vipo katika audio (audio books) na e-books pia, vinapatikana dsm na mikoani kwa ujumla,pia tunakuletea pale ulipo dsm.hata mikoani tunakutumia kwa basi au dhl.

wasiliana nasi au oda leo :
0656 579305
0684 579305
email: wigotz@gmail.com

tetesi?
 
kunani mkuuu? wakati mbogo na kitabu ni sawa na usiku na mchana kwani toka dunia imeumbwa havijawahi kukaa pamoja hata dk5 tu vika share experience..
 
Nilidhani unashauri watu wenye kutaka kujikwamua kimaisha, wanunue na wasome, kumbe wewe ndo mfanyabiashara wa hivyo vitabu, aah , hapo ume discourage kidogo, bora ungemalizia kwa kutoa uelekezi wa mahali books zinapopatikana.

Ki- ukweli, these books are super good( only if you can visionalize once you read them),they don't give ot tell you how to get money, but they show you how you can go through.

Good lucky for readers.
 
Mkuu Wigo, asante kwa ukarimu wako wa kutoa ukweli bure kwa wote watakao bahatika kufungua thread yako hii. Kwa hakika ni budi kuzingatia kuwa proportion ya watu waliofanikiwa kwenye society nyingi ikiwamo US ni 3-10 % (Ref: Jim Rohn - American renowned motivational speaker)! Ni wachache huuona ukweli na kuufanyia kazi. Kadri mtu unavyosoma vitabu vyenye mafundisho, kusilikiza Audio, Video na hata semina zenye mafundisho kwenye eneo husika ndiyo unavyobadilika spontaneously. Mtu anayeamini katika jambo fulani akapitia mafundisho ya hilo jambo kupitia vitabu, audio, video, seminars n.k. hatabakia yule yule! Na hayo mabadiliko yanayotokea kifikra ndiyo humuelekeza mtu kuelekea kwenye njia sahihi ya kuelekea mafanikio. Siyo watu wote wanaweza kuona hazina hii ya ukweli kama vile ambavyo siyo wote wanaweza kuziona fursa zilizowazunguka. Iliumbwa hivyo na hakuna jibu as to why!! Hima hima wakuu tujibidishe kutafuta maarifa, inalipa sana.
 
View attachment 108782View attachment 108783View attachment 108784

Wapo watu wasiopenda kusoma wanaokosoa usomaji wa vitabu hivi. Hoja yao kubwa ni eti pesa hazipo vitabuni na kwamba vitabu hivi ni kujiburudisha nafsi tu na hakuna lolote.
Nikiri kwamba nilipoanza kusoma vitabu vya Robert Kiyosaki nilionekana kwa wapenda Fiction kama natafuta faraja.

Lakini nikasoma.

Rich dad poor dad

Cashflow Quadrant
Why we want you rich
Guide to Investment
Retire Young Retire Rich
The Bussiness of 21st century na kadhalika.

Lakini hatimaye Nikaona mabadiliko.
Kweli vitabu hivi vimebadili kabisa maisha yangu. Vilianza na kugeuza mtazamo wangu kwenye mambo ya fedha na baadae nikaanza kutendea kazi. Nimeona mabadiliko. ni vitendo.

Kama una tabia ya kusoma unaweza kutafuta vitabu vya Stephen Covey ambavyo kwa kweli nimeona mshindo kwa mwenendo wangu.

7 habits of highly effective people
7 habits of highly effective FAMILY
The 8th habit
First things first
The speed of trust

Nathamini watu ambao kushirikiana maarifa.

vitabu hivi vipo katika audio (AUDIO BOOKS) na E-BOOKS pia, vinapatikana dsm na mikoani kwa ujumla,pia tunakuletea pale ulipo dsm.hata mikoani tunakutumia kwa basi au DHL.

wasiliana nasi au oda leo :
0656 579305
0684 579305
email: wigotz@gmail.com

nitakupatia bure.

Sijaelewa, vinauzwa au bure?
 
Mkuu wigo
Kusoma vitabu ni utashi wa mtu binafsi, tena sio hapo tu kuamini kilicho andikwa na kukifanyia kazi ni hatua kubwa zaidi.
Nilikua Mkoani Kilimanjaro mwaka jana kwenye mbio za Kili marathon, nikaingia pale Nakumat nikanunua kitabu cha huyu bwana Kayosaki, Cashflow Quandrant. Nikakisoma chote kwenye safari yangu ya kurudi Dar. It has never been the same, i changed my mind set, and my mind changed my life.
 
Last edited by a moderator:

Mimi na kazi ya kuajiriwa nilishaacha. Napata hela huku nikilaani muda niliopoteza na waajiri wa kishenzi Tz. Soma pia how to get whatever you want cha Mr.Kopmeyer
 
Last edited by a moderator:
great motivator. salute kwako kwani kusema hayo tuu umeshatia chumvi ndani ya mioyo ya watu.ubarikiwe sana
 
Aisee ni kweli, vitabu viinakubadilisha ndanina nje, swala ata kile kitendo cha kutulia na kuanza kusoma kitabu chenye kurasa kama 500 kinakujengea tabia ya kusikiliza na kutafakari unacho ambiwa, hivyo swala si kupata ppesa tu bali pia art ya kuweza kuishi kwa maelewano katika jumuiya na marafiki, sana kinapanua zaidi uelewa wako!...
 
Watu wengine hufikiri nondo zilizopo kwenye hivyo vitabu ni theories tu. Sio kweli. Watz wengi huwa hawako serious na issue zao, ndio maana mtu anaanzisha biashara kumwiga jirani au rafiki yake. Mwisho wa siku anafell kwa sababu sio idea yake.

Wataalam wanakuambia lazima uivae biashara yako deep in your sub conscious. Inakuwa kama imani yako ya kidini ilivyokukaa. Hakuna kitu kitashindika tena , maana hata maandiko yanasema ...ukiwa na imani ndogo kama chembe ya haradani unaweza kuhamisha mlima.

Jinsi ya kujenga imani hiyo kwenye subconsious mind ni issue nyingine na hapo ndio wengi huishia, ila kwa urahisi, fikiria unavyosali kila siku na unaloomba kwenye hizo sala , then imitate kwa kile unachowaza kufanya (project) halafu uone kama kuna kitakachoshindika. Na hapa ndipo watu huja na mawazo kuwa hivi vitabu vya insiration sio practical.

Everything is possible when it comes to subconsciousness.
 
Back
Top Bottom