ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ukinipa simu yako niishike au niikuta simu ya mtu yoyote huwa naelekea chrome history kuona huyu mtu atakuwa Ana search vitu gani.mara nyingi nachokitafuta Ni kujua Kama huwa anaangalia video zetu zile za ngono.katika utafiti wangu huo wa kimya kimya niliouanza mwaka juzi nimegundua 80% ya smartphone zote nilizochungulia watu wake hutazama site mbili maarufu www.xnxx.com na www.xvideos.com ..nikishamaliza huo umbea wangu huwa namfikiria mtu kivingine kabisa..Kama Ni kijana wa kiume Basi akiwa anatazama x lazima tu kwa namna yoyote atakuwa mwanachama wa CHAPUTA.kwa wanawake ndo sijajua wanatazama ili iweje.kama mpo na humu jf mnaongalia hayo mapilau acheni Mara moja kwa sababu nimeshajua Kipi kinafuata mkishatazama.nimewashtukia wote mawazo ya mwanadamu siku zote huwa mabaya tu.