Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safii sana!Jf
Bible
KT
N.k
EwaaaaaSafii sana!
Mi na wewe hatutofautiani sana!ila hapo ongezea na Tenzi za Rohoni...
Mi huwa naimba kimoyo moyo maana kuimba sijui!Ewaaaaa
Kama saivi naimba tezi
Kuimba unajua sana jamanii!Mi huwa naimba kimoyo moyo maana kuimba sijui!
hahaha siongei,ndo maana mimi hu delete history hata nikitumia lappyUkinipa simu yako niishike au niikuta simu ya mtu yoyote huwa naelekea chrome history kuona huyu mtu atakuwa Ana search vitu gani.mara nyingi nachokitafuta Ni kujua Kama huwa anaangalia video zetu zile za ngono.katika utafiti wangu huo wa kimya kimya niliouanza mwaka juzi nimegundua 80% ya smartphone zote nilizochungulia watu wake hutazama site mbili maarufu www.xnxx.com na www.xvideos.com ..nikishamaliza huo umbea wangu huwa namfikiria mtu kivingine kabisa..Kama Ni kijana wa kiume Basi akiwa anatazama x lazima tu kwa namna yoyote atakuwa mwanachama wa CHAPUTA.kwa wanawake ndo sijajua wanatazama ili iweje.kama mpo na humu jf mnaongalia hayo mapilau acheni Mara moja kwa sababu nimeshajua Kipi kinafuata mkishatazama.nimewashtukia wote mawazo ya mwanadamu siku zote huwa mabaya tu.
Watu wanaangalia na hawaachi history (incognito tab), unachelewa kijana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unavyonipa moyo,ngoja niendelee kufanya mazoezi!Kuimba unajua sana jamanii!
Yeah huyo ndege john unadhani akishika simu anafanya nini zaidi ya kutazama porn nakuja jfHii 'hahaaa' means umekubaliana najamaa
[emoji41]
Una sauti nzuri sana ya tatuUnavyonipa moyo,ngoja niendelee kufanya mazoezi!
Yeah huyo ndege john unadhani akishika simu anafanya nini zaidi ya kutazama porn nakuja jf
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaUna sauti nzuri sana ya tatu
Ndio michezo yake hiyo. .. dogo ana mambo ya ajabu sana huyoAnaenda kutamba jw haha
Hahaha hahahaHahahaha
Umenifanya nimecheka sana huku,we umejuaje?
HahahaHahaha hahaha
Huwa nakusikiaga ukiimbaa, navutiwa sana na sauti yako ya tatu!