sabosabo
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 2,050
- 5,066
Inawezekana tukawa tunatofautiana kiumri Mkuu,ndio maana uliona ni jambo lisilowezekanaMie wakati nipo form three ilikuwa Ni kosa la jinai kumiliki fridge sembuse TV!
Kunywa Maji ilikuwa Ni mwendo wa kuchovya Kikombe Kwenye Mitungi Kama tunatambika vile
Tumetoka mbali Sana kwa Kweli
Mimi nikiwa form three japo kulikua hakuna smartphone lakini mimeangalia sana porn hizo!