Nikisikia mwanaume anaoa mwanamke fulani ninaye mjua kitaani kwetu huwa napata huruma kwa mwamba

Uko sahihi.
 
Mi pia kina binti aliolewa pale mtaani tunamjua tabia zake watu washakula jicho sana, sasa jamaa aliemuoa alikuwa ajui kama mkewe anatoa jicho ndo wana kumsanua bana sasa jamaa ni boya boya kaenda kwa mkewe kaomba ndogo bila kutumia prosijaz za kibaharia, mke kawaka isue ikafika adi kwa wazazi bana na ndoa ikavunjika sie wana kitaa tunacheka tu na tulijuwa yule binfi hawezi kaa ktk ndoa maana ni kicheche anatakroo hatari
 
Jamaa kadata balaa na demu kajistukia kutoa jicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…