Nikisoma kozi fupi ya OSHA itanisaidia kupata kibarua?

Nikisoma kozi fupi ya OSHA itanisaidia kupata kibarua?

Joined
Feb 20, 2026
Posts
14
Reaction score
23
Habarini ndugu zangu mm ni kijana wa miaka 23 nimemaliza chuo hv karibuni ila sina mchongo wowote mtaani sasa nina idea za kusoma short course za OSHA, huenda nikapata hata kijikazi cha kujishikiza hapa mjini.

Sasa nauliza, jaman kwa wenye uzoefu hv hizi kozi za OSHA ni kwa walio makazini tu au hata mm jobless naweza nikasomea then nikaingia mtaani kusaka kazi?
 
Nafikiri hizo course zina added advantage ukiwa na degree ila sidhani kama kuna ajira ya serikali unaweza kupata kwa cheti cha mafunzo ya muda mfupi merely.

Labda kwenye viwanda vya wahindi kama compliance officer sio uhakika.
 
Habarini ndugu zangu mm ni kijana wa miaka 23 nimemaliza chuo hv karibuni ila sina mchongo wowote mtaani sasa nina idea za kusoma short course za OSHA, huenda nikapata hata kijikazi cha kujishikiza hapa mjini.

Sasa nauliza, jaman kwa wenye uzoefu hv hizi kozi za OSHA ni kwa walio makazini tu au hata mm jobless naweza nikasomea then nikaingia mtaani kusaka kazi?
Kwenye Utumishi wa umma ( serikalini), sahau icho kitu. Ila private kama una diploma au degree ( hasa hasa iwe ya engineering, environmental science) unaweza pata, ila usome nosch 1&2 kutoka osha unaajirika kama Safety officer, kozi nyengine zote za osha zinasaidia ukiwa na ajira ila kama ndio unatafuta soma hizo. Kazi za safety officer zipo.
 
Back
Top Bottom