paul castelano
Member
- Feb 20, 2026
- 14
- 23
NdioUna maanisha Occupational Safety and Health Administration?
Kwenye Utumishi wa umma ( serikalini), sahau icho kitu. Ila private kama una diploma au degree ( hasa hasa iwe ya engineering, environmental science) unaweza pata, ila usome nosch 1&2 kutoka osha unaajirika kama Safety officer, kozi nyengine zote za osha zinasaidia ukiwa na ajira ila kama ndio unatafuta soma hizo. Kazi za safety officer zipo.Habarini ndugu zangu mm ni kijana wa miaka 23 nimemaliza chuo hv karibuni ila sina mchongo wowote mtaani sasa nina idea za kusoma short course za OSHA, huenda nikapata hata kijikazi cha kujishikiza hapa mjini.
Sasa nauliza, jaman kwa wenye uzoefu hv hizi kozi za OSHA ni kwa walio makazini tu au hata mm jobless naweza nikasomea then nikaingia mtaani kusaka kazi?