mwanafasafajo
Member
- Jun 18, 2019
- 11
- 0
Nenda ofisi za BRELA ama visit website yaoNdugu nina wazo ambalo nimekwisha ongea na watu wachache ninao waamini wakaniambia nitafute wadau niweze kufanya nao ubia na kupata hati miliki naomba kuasilisha!
Lakini Sijui namna ya kupata mbia na hati,naomba kujua taratibu
Usiyumbishwe mkuu nenda ofisi za COSOTA ndio wanahusika na utoaji wa copyrightsNdugu nina wazo ambalo nimekwisha ongea na watu wachache ninao waamini wakaniambia nitafute wadau niweze kufanya nao ubia na kupata hati miliki naomba kuasilisha!
Lakini Sijui namna ya kupata mbia na hati,naomba kujua taratibu
Hahaha inawezeka Ila no one of stupid thing you can do. Kama Hilo wazo hujawai kuliweka kwenye practice eti Unataka kuwa na hatimiliki ya wazo. Hatimiliki ya Biashara sio wazo kijana
Cha uHuwezi milk hati milk ya Idea. Idea ni wazo na juwa zinafanana sana ila kwenye Impementation ndo huwa kuna utofauti.
Leo hii huwezi kuwa na Idea ya kujenga nyumha juu ya mlima Kilimanjaro eti ukasajili ili watu wengine wasije jenga nyumba juu ya mlima. Hakuna kitu kama hicho.
Leo hii hata Magari basi kungekuwa na Ford Rangers pekee au kungejuwa na Toyota pekee.
Komputa kungekuwa na Dell pekee ila mpaka sasa kuna Komputa chungu nzima na kila siku zinazaliwa computa mpya
Hizo QUOTE="CHASHA FARMING, post: 32151478, member: 45900"]
Huwezi milk hati milk ya Idea. Idea ni wazo na juwa zinafanana sana ila kwenye Impementation ndo huwa kuna utofauti.
Leo hii huwezi kuwa na Idea ya kujenga nyumha juu ya mlima Kilimanjaro eti ukasajili ili watu wengine wasije jenga nyumba juu ya mlima. Hakuna kitu kama hicho.
Leo hii hata Magari basi kungekuwa na Ford Rangers pekee au kungejuwa na Toyota pekee.
Komputa kungekuwa na Dell pekee ila mpaka sasa kuna Komputa chungu nzima na kila siku zinazaliwa computa mpya
Idea ni mali za watu ndiyo maana ukianzisha Kiwanda cha Magari yanayofanana Na Ford lazima uruhusiwe Na wao