Nikitaka kulitengenezea Haki Miliki Wazo Langu La Biashara Na Kuweka Ubia Nafanyaje?

mwanafasafajo

Member
Joined
Jun 18, 2019
Posts
11
Reaction score
0
Ndugu nina wazo ambalo nimekwisha ongea na watu wachache ninao waamini wakaniambia nitafute wadau niweze kufanya nao ubia na kupata hati miliki naomba kuasilisha!

Lakini Sijui namna ya kupata mbia na hati,naomba kujua taratibu
 
Nenda ofisi za BRELA ama visit website yao
 
Hahaha inawezeka Ila no one of stupid thing you can do. Kama Hilo wazo hujawai kuliweka kwenye practice eti Unataka kuwa na hatimiliki ya wazo. Hatimiliki ya Biashara sio wazo kijana
 
Ndugu nina wazo ambalo nimekwisha ongea na watu wachache ninao waamini wakaniambia nitafute wadau niweze kufanya nao ubia na kupata hati miliki naomba kuasilisha!

Lakini Sijui namna ya kupata mbia na hati,naomba kujua taratibu
Usiyumbishwe mkuu nenda ofisi za COSOTA ndio wanahusika na utoaji wa copyrights
 
Wakati mwingine kama hujuinkaa kimya

Hahaha inawezeka Ila no one of stupid thing you can do. Kama Hilo wazo hujawai kuliweka kwenye practice eti Unataka kuwa na hatimiliki ya wazo. Hatimiliki ya Biashara sio wazo kijana
 
Kwa Dunia ya leo sidhani kabisa. Unaweza weka hati milk ya Jina la Biashara ila sio Idea.

Idea zipo na huja kwa namna tofauti tofauti.

MFANO
Mpesa.
Safaricom baada yule kijana kugundua Mpesa walicho kifanya walinunua hatimilk kwa Lugha zote kuanzia Kichina hadi Kiarabu hadi Maana yake nchi youte isije tumia jina lake kufanya biashara.

Ila sio kwamba hakuna Moneye transfer kwa kutumia simu yapo nchi zingine pia hasa Africa.
 
Huwezi milk hati milk ya Idea. Idea ni wazo na juwa zinafanana sana ila kwenye Impementation ndo huwa kuna utofauti.

Leo hii huwezi kuwa na Idea ya kujenga nyumha juu ya mlima Kilimanjaro eti ukasajili ili watu wengine wasije jenga nyumba juu ya mlima. Hakuna kitu kama hicho.

Leo hii hata Magari basi kungekuwa na Ford Rangers pekee au kungejuwa na Toyota pekee.

Komputa kungekuwa na Dell pekee ila mpaka sasa kuna Komputa chungu nzima na kila siku zinazaliwa computa mpya
 
Cha u

Acha uwongo mbona nimefuatilia nimeambiwa taratibu na nimeanza utekelezaji
 
Hizo QUOTE="CHASHA FARMING, post: 32151478, member: 45900"]
Huwezi milk hati milk ya Idea. Idea ni wazo na juwa zinafanana sana ila kwenye Impementation ndo huwa kuna utofauti.

Leo hii huwezi kuwa na Idea ya kujenga nyumha juu ya mlima Kilimanjaro eti ukasajili ili watu wengine wasije jenga nyumba juu ya mlima. Hakuna kitu kama hicho.

Leo hii hata Magari basi kungekuwa na Ford Rangers pekee au kungejuwa na Toyota pekee.

Komputa kungekuwa na Dell pekee ila mpaka sasa kuna Komputa chungu nzima na kila siku zinazaliwa computa mpya

Idea ni mali za watu ndiyo maana ukianzisha Kiwanda cha Magari yanayofanana Na Ford lazima uruhusiwe Na wao
 
Hahaaa Idea sio Mali za watu ilijuwa zamani wakati Techinolojia ikiwa ndogo.

Idea ni zile zile. Angalia Airbus angali Boing.
Angalia simu zinavyo fanana kila kitu tena unakuta spare zinanunuliwa kwa mtu mmoja.

Kuna kampuni inawauzia Airbus vifaa na hapo hapo inawauzia Boing hivyo hivyo vifaa.

Back
Top Bottom