Nikitengeneza kozi inayohusiana na nini ? Naweza uza bongo

Nikitengeneza kozi inayohusiana na nini ? Naweza uza bongo

Brave_Idiot

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2023
Posts
209
Reaction score
368
Nilikua na kaplatform kangu ka kozi, hivyo nilikua nauliza nifundishe kuhusu nini angalau naweza Pata wateja kwa hili soko la bongo na pia budget yabei ikaaje ? Naombeni maoni yenu
 
Sasa mkuu, unataka sisi tufanye kila kitu, ?
Anyway, weka coz za mapishi, ada iwe buku hadi buku 10 kwa mwezi, wadada wengi na bachelors watajiunga,

Weka coz za nguvu za kiume, bei 10-20k kwa mwezi (zungumzia misosi na vyakula)

Weka coz za biashara, bei 5-25k

Coz za computer, bei 50-100k

Weka nguvu kwenye zile mbili za mwanzo, utauza sanaaa
 
1. Fundisha namna ya kuchepuka bila kukamatwa.

2. Muda mzuri wa kuchepuka.

3. Jinsi ya kuongeza nguvu za kiume.

4. Namna ya kunenepesha uume

5. Jinsi ya kutengeneza shape na hips.

6. Namna ya kusimamisha matiti saa sita kamili
 
Hakuna wa kununua kozi online wanahisi ni utapeli bora ingekua app, ukaifanya kama ya mange. Inshort utachoka bure tu kibongobongo haitoboi hio
 
Hakuna wa kununua kozi online wanahisi ni utapeli bora ingekua app, ukaifanya kama ya mange. Inshort utachoka bure tu kibongobongo haitoboi hio
Ni app ndio boss, ila bado naona kama itakua ngumu
 
Back
Top Bottom