Sasa mkuu, unataka sisi tufanye kila kitu, ?
Anyway, weka coz za mapishi, ada iwe buku hadi buku 10 kwa mwezi, wadada wengi na bachelors watajiunga,
Weka coz za nguvu za kiume, bei 10-20k kwa mwezi (zungumzia misosi na vyakula)
Weka coz za biashara, bei 5-25k
Coz za computer, bei 50-100k
Weka nguvu kwenye zile mbili za mwanzo, utauza sanaaa