mitishamba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 697
- 111
Nimekwambia anakuwa amekuepusha na mambo mengi sana, hujui hilooo?mkubwa Kisaikologia utakua huko sawasawa, ukitongoza ujue kuna motive(kiu) ya kupata kitu flani na huwezi kupata raha hadi kiu hiyo iwe satisfied!
Mfano kama ninavyokuona hapo halaf unasema nisikutongoze..!sasa kama unataka kuepushwa na mambo mengi si usitongoze kabisa
sasa kama unataka kuepushwa na mambo mengi si usitongoze kabisa
Sasa mbona hata ukichanyata baadae unakuja kujuta tu.Dah na wewe kweli unaleta kali....
Sasa lengo la kutongoza ni nini?
kwa hiyo bora bi kukubaliwa halafu ukamuliwe kama malima na kuachiwa migonjwa.Wewe nadhani sio mtu wa kawaida na inawezekana utakuwa una matatizo ya kisaikolojia maana sidhani kama mtu mwenye akili zake timamu anaweza kufurahia kukataliwa na mwanamke. Nakushauri uende kwa Psychiatrist ili aweze kukushauri na kukusaidia kuondoa hilo tatizo lako.
Akinipa nakula mzigo kama kawa tu.Sitaki nataka, dizaini hii haikawii kulaumu mwanamke kambaka, wakati yeye mwenyewe ndiye kamtokea.
halafu nikikukataa unashangilia, na nikikukubali unanichukua kwa shingo upande ama?Mfano kama ninavyokuona hapo halaf unasema nisikutongoze..!
Nataka kukomenti lakini ebu nieleze hapo kwenye colour ni yapi hayo.Suala la kutongoza linaweza kumkuta mwanamume yeyote rijali.
Sasa mimi nikitongoza mwanamke halafu akinikatalia huwa nafurahi na kujisikia vizuri sana kuliko kama akinikubalia.
Yaani anakuwa ameniepusha na mambo mengi mnoooo......
hebu komenti kwanza tuone.Nataka kukomenti lakini ebu nieleze hapo kwenye colour ni yapi hayo.
Suala la kutongoza linaweza kumkuta mwanamume yeyote rijali.
Sasa mimi nikitongoza mwanamke halafu akinikatalia huwa nafurahi na kujisikia vizuri sana kuliko kama akinikubalia.
Yaani anakuwa ameniepusha na mambo mengi mnoooo......
mkubwa Kisaikologia utakua huko sawasawa, ukitongoza ujue kuna motive(kiu) ya kupata kitu flani na huwezi kupata raha hadi kiu hiyo iwe satisfied!
halafu nikikukataa unashangilia, na nikikukubali unanichukua kwa shingo upande ama?