Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
halafu nikikukataa unashangilia, na nikikukubali unanichukua kwa shingo upande ama?
Inawezekana anataka kutongozwa yeye, "wanaume kama mabinti" style. Si mambo ya usawa tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu nikikukataa unashangilia, na nikikukubali unanichukua kwa shingo upande ama?
kuvuja kwa pakacha na fuu ya mchukuziSikujua kama kuna watu wanafanya mambo ili washindwe.
we muongo.hakuna kitu kama hicho kwa rational behavior ya mwanadamu! may be una some mental breakdown!!
ukiitwa mpmbv utasemaje.Kuna jinsi ya kupima kama mtoto wako ni wa kawaida
Muwekee katuni ya Tom an Jerry
Ukiona anamshabikia Tom, ita daktari wa akili haraka
toa hojaunajishaua tu
kwa hiyo ile kitu inauzwa siyo? Your avatar speaks it all.....jukwaa lina mambo hiilii...
...kifupi wewe huna hela.......
we hilo tumbo vipi? halaf kavae nguo basi.mtoa mada na watoa coment mnanichekesha mwana wa mwenzenu.
sipati picha siku ukikubaliwa sijui utasema samahani dada nilikua nakutania tu.