Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kikubwa, nitasema kuwa Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania

Kingine alichokiacha marehemu Magufuli ni upandikizaji wa ujinga na siasa za hila na uwongo.

Kwa mfano huko nyuma usingesikia mtu anasema eti Rais amejenga madarasa, ungesikia Serikali imejenga madarasa. Mambo ya kufanya hela za Serikali kuwa ni mali ya Rais yalianza wakati wa Magufuli. Magufuli alitembea na hela za serikali kwenye begi, na kuzigawa kama njugu kwa watu waliokuwa wakiandaliwa ili kuwahadaa wajinga kuwa Rais ana huruma sana.

Ule ujinga alioupandikiza marehemu Magufuli, wapo watu bado wanaishi nao. Ndiyo maana utasikia eti Rais Samia ametoa hela!!

Mpaka sasa, wengi wanaoendelea kumsifia marehemu, ni wale ambao ujinga waliopandikizwa uliwakolea. Wapo wajinga wengine, licha ya ukuuaji wa sekta zote za uchumi, wakati wa Magufuli kusinyaa, wapo wajinga wanaoamini kuwa awamu ya uongozi wa Magufuli aliinua uchumi kuliko awamu yoyote. Na hawa huenda mpaka watakufa kwa uzee wakiamini hivyo, yaani wamepandikizwa ujinga, wataishi katika ujinga, watakufa na ujinga wao.
 

Zero brain and IQ.
 
Crap
 
Sasa hapo huoni kama wewe ndio mpumbavu?

Hivi kwanini huchukulii Rais kama taasisi.?
 
Upinzani uchwara ni wa aina gani?
Nani mpinzani Uchwara kati ya Lyatonga Mrema na Mbowe?
01: Upinzani uchwara
02: Mafisadi
03: Mabeberu

... and many more.
 
Yule mzee alikuwa ana matatizo kichwani bilashaka
 
HOFU HOFU HOFU TUPU ILIKUWA HUWEZI KUITABIRI KESHO YAKO SI KWA ALIOWATEUWA AU YEYOTE YULE KWA UPANDE FULANI NAMSIFU KWA KIPAJI ALICHOKUWA NACHO MAANA ALIWEZA KUENDESHA NCHI NA WIZARA ZOTE YEYE MWENYEWE HUKU AKIFAHAMU KILA KITU KATIKA KILA WIZARA
Nchi ilifikia pabaya Sana kipindi chake
 
Hadi Magufuli anaingia madarakani Watanzania walikuwa hawana awareness ya Mafisadi na Mabeberu?

Kwa nini CAG Assad alifukuzwa kabla ya muda wake?

Mikopo ya kujenge SGR, Bandari, ilitoka wapi?
01: Upinzani uchwara
02: Mafisadi
03: Mabeberu

... and many more.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…