Kingine alichokiacha marehemu Magufuli ni upandikizaji wa ujinga na siasa za hila na uwongo.
Kwa mfano huko nyuma usingesikia mtu anasema eti Rais amejenga madarasa, ungesikia Serikali imejenga madarasa. Mambo ya kufanya hela za Serikali kuwa ni mali ya Rais yalianza wakati wa Magufuli. Magufuli alitembea na hela za serikali kwenye begi, na kuzigawa kama njugu kwa watu waliokuwa wakiandaliwa ili kuwahadaa wajinga kuwa Rais ana huruma sana.
Ule ujinga alioupandikiza marehemu Magufuli, wapo watu bado wanaishi nao. Ndiyo maana utasikia eti Rais Samia ametoa hela!!
Mpaka sasa, wengi wanaoendelea kumsifia marehemu, ni wale ambao ujinga waliopandikizwa uliwakolea. Wapo wajinga wengine, licha ya ukuuaji wa sekta zote za uchumi, wakati wa Magufuli kusinyaa, wapo wajinga wanaoamini kuwa awamu ya uongozi wa Magufuli aliinua uchumi kuliko awamu yoyote. Na hawa huenda mpaka watakufa kwa uzee wakiamini hivyo, yaani wamepandikizwa ujinga, wataishi katika ujinga, watakufa na ujinga wao.