Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kikubwa, nitasema kuwa Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania

HOFU HOFU HOFU TUPU ILIKUWA HUWEZI KUITABIRI KESHO YAKO SI KWA ALIOWATEUWA AU YEYOTE YULE KWA UPANDE FULANI NAMSIFU KWA KIPAJI ALICHOKUWA NACHO MAANA ALIWEZA KUENDESHA NCHI NA WIZARA ZOTE YEYE MWENYEWE HUKU AKIFAHAMU KILA KITU KATIKA KILA WIZARA
Alikuwa na iq kubwa sana
 
Hizo ndio propaganda mbaya za kibeberu. Watu wakiwa na uongozi wa kutetea wengi mipenda ubwenyenye inasema wametiwa hofu kumbe yenyewe mibwenyenye ndio imedhibitiwa kuwanyanyasa na kuwanyonya raia.
 
Ameacha tabia ya kumsifia kiongozi na kumwona ana akili ya kila kitu.
 
Nadhani kama kusingekuwa na ujinga huko nyuma basi hata Magufuli asingeikuta ccm ambayo ndio iliyompa madaraka, waerevu na wasio na hofu wangekuwa wamekwishaipiga chini ccm ambayo ndio mzizi wa tatizo hadi leo.
 
Ukiweka hoja huenda ungeonekana kuwa una akili japo kidogo. Onyesha kwa hoja kuwa uzij ni wa kijinga. Ukisema tu kuwa wa kijinga, wenye akili watakuona wewe ambaye huelewi hata hoja iliyopo, siyo mjinga tu bali umepungukiwa hasa.
Uzi wa kijinga kwa sababu hatujawahi kuwa na ujasiri hata kabla ya Magufuli na ujinga tupo nao toka zamani na ndio tunatawaliwa na ccm hadi dakika hii na yote ni kwa sababu ambao nadhani ni wa kuzaliwa na Magufuli kaukuta tu.
 
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Magufuli ni zao la ccm ambayo ndio mzizi wa tatizo tulilonalo kabla hata huyo Magufuli hajawa rais, nafikiri ingekuwa vyema kama mngemuomba huyo mungu awaondelee ccm ambayo ndio kilio chetu cha muda mrefu.
 
Magufuli ni zao la ccm ambayo ndio mzizi wa tatizo tulilonalo kabla hata huyo Magufuli hajawa rais, nafikiri ingekuwa vyema kama mngemuomba huyo mungu awaondelee ccm ambayo ndio kilio chetu cha muda mrefu.
Magufuli ni zao la ccm ambayo ndio mzizi wa tatizo tulilonalo kabla hata huyo Magufuli hajawa rais, nafikiri ingekuwa vyema kama mngemuomba huyo mungu awaondelee ccm ambayo ndio kilio chetu cha muda mrefu.

Tumeanza na shetani zaidi.
 
Ni mwaka sasa tangu kipenzi chetu aondoke je hofu bado haipo!? Au ndo kujitekenya na kujichekelesha
 
Magufuli ameleta awareness kubwa sana kwa Watanzania juu ya mambo mengi yawahusuyo wao binafsi na taifa kwa ujumla.
Wanaomuona kama dikteta ni wale waliotaka kuabudiwa na kunyenyekewa na matapeli wa mijini wa kila aina.

Wananchi wa kawaida wenye kudai haki zao hawakumuona kama ni kiongozi muonevu, walimuelewa na wakampenda.
 
Nonsense
 
Kweli hofu kwa mafisadi,wenye vyeti feki, Msoga gang.

Ila kwa wananchi aliondoa hofu, eti mtu anakuja na vitisho eti wimbi sijui langapi.Watu wanadunda tu.
Eti chanjo,watu hawachanjwi na maisha yanasonga.
Bahati nzuri corona ukiidharau inaanza na ww
 
kama samia anajitahidi kuacha hofu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…