Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
- #101
Kamwacha General More Power Sabaya ananyea debeKaacha Wabambikiziwa kesi magerezani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamwacha General More Power Sabaya ananyea debeKaacha Wabambikiziwa kesi magerezani
Alikuwa na iq kubwa sanaHOFU HOFU HOFU TUPU ILIKUWA HUWEZI KUITABIRI KESHO YAKO SI KWA ALIOWATEUWA AU YEYOTE YULE KWA UPANDE FULANI NAMSIFU KWA KIPAJI ALICHOKUWA NACHO MAANA ALIWEZA KUENDESHA NCHI NA WIZARA ZOTE YEYE MWENYEWE HUKU AKIFAHAMU KILA KITU KATIKA KILA WIZARA
Hizo ndio propaganda mbaya za kibeberu. Watu wakiwa na uongozi wa kutetea wengi mipenda ubwenyenye inasema wametiwa hofu kumbe yenyewe mibwenyenye ndio imedhibitiwa kuwanyanyasa na kuwanyonya raia.Habari!
Kwakuwa jf ni huru sidhani kama uzi huu uliojaa mawazo huru usio na kejeli wala matusi sitarajii kwamba utafutwa.
Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kwa Watanzania, pasi kupapasa nitajibu kuwa "Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania, itachukua miaka mingi sana kuipndoa".
Watanzania katika serikali za awamu ya 1, 2,3 na 4 kidogo walikuwa watu wanaozifahamu haki zao na wakati mwingine walithubutu kuzidai kwa nguvu walipoona zinacheleweshwa na wenye mamlaka.
Ila tangu Magufuli aingie madarakani ile style yake ya kuwaminya waliojaribu kuinunua shingo zao imeleta athari kubwa kwa Watanzania.
Sasa hakuna mtu tena wa kuweza kuipinga serikali kwa vitendo.
Watanzania wamepandikizwa woga.
Nakumbuka mkwara aliowapigia wanafunzi wa UDSM endapo wataandamana, naukumbuka mkwara aliopigwa Majaliwa endapo ndugu zake wataandamana.
Na kumbuka pale alipokuwa akitumia neno fyokofyoko akimaanisha uchochezi.
Watumishi walikuwa wapole kwa miaka yote 6 huku wakisubiri Mungu aongee na Rais juu ya hatma yao.
Hii hofu haitafutika hivi karibuni. Si mmeona tozo zilivyoingizwa kikatili ila wananchi wakaishia kulia mitandaoni tu.
🤣🤣🤣Ni hatari kabisa taifa kuwa hofu zisizo maana
Ameacha tabia ya kumsifia kiongozi na kumwona ana akili ya kila kitu.Habari!
Kwakuwa jf ni huru sidhani kama uzi huu uliojaa mawazo huru usio na kejeli wala matusi sitarajii kwamba utafutwa.
Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kwa Watanzania, pasi kupapasa nitajibu kuwa "Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania, itachukua miaka mingi sana kuipndoa".
Watanzania katika serikali za awamu ya 1, 2,3 na 4 kidogo walikuwa watu wanaozifahamu haki zao na wakati mwingine walithubutu kuzidai kwa nguvu walipoona zinacheleweshwa na wenye mamlaka.
Ila tangu Magufuli aingie madarakani ile style yake ya kuwaminya waliojaribu kuinunua shingo zao imeleta athari kubwa kwa Watanzania.
Sasa hakuna mtu tena wa kuweza kuipinga serikali kwa vitendo.
Watanzania wamepandikizwa woga.
Nakumbuka mkwara aliowapigia wanafunzi wa UDSM endapo wataandamana, naukumbuka mkwara aliopigwa Majaliwa endapo ndugu zake wataandamana.
Na kumbuka pale alipokuwa akitumia neno fyokofyoko akimaanisha uchochezi.
Watumishi walikuwa wapole kwa miaka yote 6 huku wakisubiri Mungu aongee na Rais juu ya hatma yao.
Hii hofu haitafutika hivi karibuni. Si mmeona tozo zilivyoingizwa kikatili ila wananchi wakaishia kulia mitandaoni tu.
Nadhani kama kusingekuwa na ujinga huko nyuma basi hata Magufuli asingeikuta ccm ambayo ndio iliyompa madaraka, waerevu na wasio na hofu wangekuwa wamekwishaipiga chini ccm ambayo ndio mzizi wa tatizo hadi leo.Kingine alichokiacha marehemu Magufuli ni upandikizaji wa ujinga na siasa za hila na uwongo.
Kwa mfano huko nyuma usingesikia mtu anasema eti Rais amejenga madarasa, ungesikia Serikali imejenga madarasa. Mambo ya kufanya hela za Serikali kuwa ni mali ya Rais yalianza wakati wa Magufuli. Magufuli alitembea na hela za serikali kwenye begi, na kuzigawa kama njugu kwa watu waliokuwa wakiandaliwa ili kuwahadaa wajinga kuwa Rais ana huruma sana.
Ule ujinga alioupandikiza marehemu Magufuli, wapo watu bado wanaishi nao. Ndiyo maana utasikia eti Rais Samia ametoa hela!!
Mpaka sasa, wengi wanaoendelea kumsifia marehemu, ni wale ambao ujinga waliopandikizwa uliwakolea. Wapo wajinga wengine, licha ya ukuuaji wa sekta zote za uchumi, wakati wa Magufuli kusinyaa, wapo wajinga wanaoamini kuwa awamu ya uongozi wa Magufuli aliinua uchumi kuliko awamu yoyote. Na hawa huenda mpaka watakufa kwa uzee wakiamini hivyo, yaani wamepandikizwa ujinga, wataishi katika ujinga, watakufa na ujinga wao.
Uzi wa kijinga kwa sababu hatujawahi kuwa na ujasiri hata kabla ya Magufuli na ujinga tupo nao toka zamani na ndio tunatawaliwa na ccm hadi dakika hii na yote ni kwa sababu ambao nadhani ni wa kuzaliwa na Magufuli kaukuta tu.Ukiweka hoja huenda ungeonekana kuwa una akili japo kidogo. Onyesha kwa hoja kuwa uzij ni wa kijinga. Ukisema tu kuwa wa kijinga, wenye akili watakuona wewe ambaye huelewi hata hoja iliyopo, siyo mjinga tu bali umepungukiwa hasa.
Magufuli ni zao la ccm ambayo ndio mzizi wa tatizo tulilonalo kabla hata huyo Magufuli hajawa rais, nafikiri ingekuwa vyema kama mngemuomba huyo mungu awaondelee ccm ambayo ndio kilio chetu cha muda mrefu.Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Magufuli ni zao la ccm ambayo ndio mzizi wa tatizo tulilonalo kabla hata huyo Magufuli hajawa rais, nafikiri ingekuwa vyema kama mngemuomba huyo mungu awaondelee ccm ambayo ndio kilio chetu cha muda mrefu.

Wanaomuona kama dikteta ni wale waliotaka kuabudiwa na kunyenyekewa na matapeli wa mijini wa kila aina.Magufuli ameleta awareness kubwa sana kwa Watanzania juu ya mambo mengi yawahusuyo wao binafsi na taifa kwa ujumla.
NonsenseHayo ni yako mtoa mada.. Kwangu mimi Hayati JPM anaishi.. Na Nabii aliyekuja kwetu kutufumbua macho na kutuonyesha kuwa watanzania tunaweza kuendeleza nchi yetu bila utegemezi wa nchi za magharibi.. Ni nabii aliyekuja kutufundisha umuhimu wa kufanya kazi na kuipenda nchi yetu.. Ni Nabii aliyekuja kwetu kutuonyesha kuwa watu wanaoishi kwa wizi wa ujanja ujanja wanadhibitika.. Ni Nabii aliyekuja kwetu kutufundisha jinsi Taasisi ya Urais inavyotakiwa kufanya kazi.. Na kama ilivyo ada, manabii wengi huwa hawaishi muda mrefu na jamii zao.. Kaongoza kipindi kimoja akitamani kumalizia kipindi cha pili, lakini mMwenyezi Mungu akamwambia kijana wangu inatosha.. Njoo upumzike.. Nasi tuliomuelewa tutamkumbuka daima.. Na jina lake litaishi vizazi hata vizazi...
Mfuate ShattoNi mwaka sasa tangu kipenzi chetu aondoke je hofu bado haipo!? Au ndo kujitekenya na kujichekelesha
Bahati nzuri corona ukiidharau inaanza na wwKweli hofu kwa mafisadi,wenye vyeti feki, Msoga gang.
Ila kwa wananchi aliondoa hofu, eti mtu anakuja na vitisho eti wimbi sijui langapi.Watu wanadunda tu.
Eti chanjo,watu hawachanjwi na maisha yanasonga.
kama samia anajitahidi kuacha hofu!Habari!