Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kikubwa, nitasema kuwa Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Habari!

Kwakuwa jf ni huru sidhani kama uzi huu uliojaa mawazo huru usio na kejeli wala matusi sitarajii kwamba utafutwa.

Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kwa Watanzania, pasi kupapasa nitajibu kuwa "Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania, itachukua miaka mingi sana kuipndoa".

Watanzania katika serikali za awamu ya 1, 2,3 na 4 kidogo walikuwa watu wanaozifahamu haki zao na wakati mwingine walithubutu kuzidai kwa nguvu walipoona zinacheleweshwa na wenye mamlaka.

Ila tangu Magufuli aingie madarakani ile style yake ya kuwaminya waliojaribu kuinunua shingo zao imeleta athari kubwa kwa Watanzania.

Sasa hakuna mtu tena wa kuweza kuipinga serikali kwa vitendo.
Watanzania wamepandikizwa woga.

Nakumbuka mkwara aliowapigia wanafunzi wa UDSM endapo wataandamana, naukumbuka mkwara aliopigwa Majaliwa endapo ndugu zake wataandamana.

Na kumbuka pale alipokuwa akitumia neno fyokofyoko akimaanisha uchochezi.
Watumishi walikuwa wapole kwa miaka yote 6 huku wakisubiri Mungu aongee na Rais juu ya hatma yao.

Hii hofu haitafutika hivi karibuni. Si mmeona tozo zilivyoingizwa kikatili ila wananchi wakaishia kulia mitandaoni tu.
 
Magufuli kaacha smetuaribia taifa kiujumla. Kaacha amelemaza taasisi zote za nchi. Hiyo hofu aliyoacha mfano wake ni Ile iliyoachwa na biashara ya utumwa katika bara la Afrika ambayo ulikuwa inatishia uwepo wa Waafrika ktk ulimwenguni.
 
Habari!
Kwakuwa jf ni huru sidhani kama uzi huu uliojaa mawazo huru usio na kejeli wala matusi sitarajii kwamba utafutwa.
Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kwa Watanzania, pasi kupapasa nitajibu kuwa "Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania, itachukua miaka mingi sana kuipndoa".
Watanzania katika serikali za awamu ya 1, 2,3 na 4 kidogo walikuwa watu wanaozifahamu haki zao na wakati mwingine walithubutu kuzidai kwa nguvu walipoona zinacheleweshwa na wenye mamlaka.
Ila tangu Magufuli aingie madarakani ile style yake ya kuwaminya waliojaribu kuinunua shingo zao imeleta athari kubwa kwa Watanzania.
Sasa hakuna mtu tena wa kuweza kuipinga serikali kwa vitendo.
Watanzania wamepandikizwa woga.
Nakumbuka mkwara alipwapigia wanafunzi wa UDSM endapo wataandamana, naukumbuka mkwara aliopigwa Majaliwa endapo ndugu zake wataandamana.
Watumishi walikuwa wapole kwa miaka yote 6 huku wakisubiri Mungu aongee na Raia juu yao.
Hii hofu haitafutika hivi karibuni.
Anaweza it was shujaa mtesi na aliyeomba kuombewa kwa maovu na ukatili wa kinyama! Alitaka wote wamsujudie yeye!
Unaweza sema mengi lakini alishalala apumzike tu kwa mola.!

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
HOFU HOFU HOFU TUPU ILIKUWA HUWEZI KUITABIRI KESHO YAKO SI KWA ALIOWATEUWA AU YEYOTE YULE KWA UPANDE FULANI NAMSIFU KWA KIPAJI ALICHOKUWA NACHO MAANA ALIWEZA KUENDESHA NCHI NA WIZARA ZOTE YEYE MWENYEWE HUKU AKIFAHAMU KILA KITU KATIKA KILA WIZARA
 
Hapa Hofu Tu.
IMG_20210521_213517.jpg
 
Habari!
Kwakuwa jf ni huru sidhani kama uzi huu uliojaa mawazo huru usio na kejeli wala matusi sitarajii kwamba utafutwa.
Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kwa Watanzania, pasi kupapasa nitajibu kuwa "Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania, itachukua miaka mingi sana kuipndoa".
Watanzania katika serikali za awamu ya 1, 2,3 na 4 kidogo walikuwa watu wanaozifahamu haki zao na wakati mwingine walithubutu kuzidai kwa nguvu walipoona zinacheleweshwa na wenye mamlaka.
Ila tangu Magufuli aingie madarakani ile style yake ya kuwaminya waliojaribu kuinunua shingo zao imeleta athari kubwa kwa Watanzania.
Sasa hakuna mtu tena wa kuweza kuipinga serikali kwa vitendo.
Watanzania wamepandikizwa woga.
Nakumbuka mkwara alipwapigia wanafunzi wa UDSM endapo wataandamana, naukumbuka mkwara aliopigwa Majaliwa endapo ndugu zake wataandamana.
Watumishi walikuwa wapole kwa miaka yote 6 huku wakisubiri Mungu aongee na Raia juu yao.
Hii hofu haitafutika hivi karibuni.
Swala la muda tu, tuendelee kumshukuru mungu madhara aliosababisha yatatujenga kwa vizazi vijavyo... Mungu ametubaliki sana Watanzania. Alitumia nguvu nyingi sana kupumbaza watanzania kwa kuwaita wanyonge wakajaa huku akiwanyima akili ya kuhoji na kuuliza, taratibu ile akili yetu ya zamani inarudi.. Tumuombe mungu aendelee kutusimamia na tuje kupata Katiba ya wananchi na sio ya wanasiasa .[emoji120][emoji120]
 
Habari!
Kwakuwa jf ni huru sidhani kama uzi huu uliojaa mawazo huru usio na kejeli wala matusi sitarajii kwamba utafutwa.
Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kwa Watanzania, pasi kupapasa nitajibu kuwa "Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania, itachukua miaka mingi sana kuipndoa".
Watanzania katika serikali za awamu ya 1, 2,3 na 4 kidogo walikuwa watu wanaozifahamu haki zao na wakati mwingine walithubutu kuzidai kwa nguvu walipoona zinacheleweshwa na wenye mamlaka.
Ila tangu Magufuli aingie madarakani ile style yake ya kuwaminya waliojaribu kuinunua shingo zao imeleta athari kubwa kwa Watanzania.
Sasa hakuna mtu tena wa kuweza kuipinga serikali kwa vitendo.
Watanzania wamepandikizwa woga.
Nakumbuka mkwara alipwapigia wanafunzi wa UDSM endapo wataandamana, naukumbuka mkwara aliopigwa Majaliwa endapo ndugu zake wataandamana.
Watumishi walikuwa wapole kwa miaka yote 6 huku wakisubiri Mungu aongee na Raia juu yao.
Hii hofu haitafutika hivi karibuni.
Hee! Jaman..c mko na mama yenu sasa hv! Shida iko wapi?? Kwani bado mnawashwaa na kivuli cha jpm?? Sasa mgalatia hayupo mko na mama yenu..shida iko wapi?? Au bado unaogopa kivuli cha jpm??
 
Habari!
Kwakuwa jf ni huru sidhani kama uzi huu uliojaa mawazo huru usio na kejeli wala matusi sitarajii kwamba utafutwa.
Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kwa Watanzania, pasi kupapasa nitajibu kuwa "Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania, itachukua miaka mingi sana kuipndoa".
Watanzania katika serikali za awamu ya 1, 2,3 na 4 kidogo walikuwa watu wanaozifahamu haki zao na wakati mwingine walithubutu kuzidai kwa nguvu walipoona zinacheleweshwa na wenye mamlaka.
Ila tangu Magufuli aingie madarakani ile style yake ya kuwaminya waliojaribu kuinunua shingo zao imeleta athari kubwa kwa Watanzania.
Sasa hakuna mtu tena wa kuweza kuipinga serikali kwa vitendo.
Watanzania wamepandikizwa woga.
Nakumbuka mkwara alipwapigia wanafunzi wa UDSM endapo wataandamana, naukumbuka mkwara aliopigwa Majaliwa endapo ndugu zake wataandamana.
Watumishi walikuwa wapole kwa miaka yote 6 huku wakisubiri Mungu aongee na Raia juu yao.
Hii hofu haitafutika hivi karibuni.

sasa hayupo si muandamane!!!au mama yeye anasemaje??
 
Hayo ni yako mtoa mada.. Kwangu mimi Hayati JPM anaishi.. Na Nabii aliyekuja kwetu kutufumbua macho na kutuonyesha kuwa watanzania tunaweza kuendeleza nchi yetu bila utegemezi wa nchi za magharibi.. Ni nabii aliyekuja kutufundisha umuhimu wa kufanya kazi na kuipenda nchi yetu.. Ni Nabii aliyekuja kwetu kutuonyesha kuwa watu wanaoishi kwa wizi wa ujanja ujanja wanadhibitika.. Ni Nabii aliyekuja kwetu kutufundisha jinsi Taasisi ya Urais inavyotakiwa kufanya kazi.. Na kama ilivyo ada, manabii wengi huwa hawaishi muda mrefu na jamii zao.. Kaongoza kipindi kimoja akitamani kumalizia kipindi cha pili, lakini mMwenyezi Mungu akamwambia kijana wangu inatosha.. Njoo upumzike.. Nasi tuliomuelewa tutamkumbuka daima.. Na jina lake litaishi vizazi hata vizazi...
 
Back
Top Bottom