Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kikubwa, nitasema kuwa Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania

Alikuwa binadamu abadan hakuwa nabii. Binadaamu n ana up ande wa wema na ubaya. Nabii hapana

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Soma ulichokiandika kisha elewa ulitaka kuniambia nini.. Alikuwa binadamu, abadan hakuwa nabii.. Kwani manabii hawakuwa binadamu..?? Anyway.. Hata ukikataa haitabadilisha mtazamo wangu kuwa JPM alikuwa Nabii..
 
Habari!
Kwakuwa jf ni huru sidhani kama uzi huu uliojaa mawazo huru usio na kejeli wala matusi sitarajii kwamba utafutwa.

Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kwa Watanzania, pasi kupapasa nitajibu kuwa "Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania, itachukua miaka mingi sana kuipndoa".

Watanzania katika serikali za awamu ya 1, 2,3 na 4 kidogo walikuwa watu wanaozifahamu haki zao na wakati mwingine walithubutu kuzidai kwa nguvu walipoona zinacheleweshwa na wenye mamlaka.

Ila tangu Magufuli aingie madarakani ile style yake ya kuwaminya waliojaribu kuinunua shingo zao imeleta athari kubwa kwa Watanzania.

Sasa hakuna mtu tena wa kuweza kuipinga serikali kwa vitendo.
Watanzania wamepandikizwa woga.

Nakumbuka mkwara aliowapigia wanafunzi wa UDSM endapo wataandamana, naukumbuka mkwara aliopigwa Majaliwa endapo ndugu zake wataandamana.

Na kumbuka pale alipokuwa akitumia neno fyokofyoko akimaanisha uchochezi.
Watumishi walikuwa wapole kwa miaka yote 6 huku wakisubiri Mungu aongee na Rais juu ya hatma yao.

Hii hofu haitafutika hivi karibuni. Si mmeona tozo zilivyoingizwa kikatili ila wananchi wakaishia kulia mitandaoni tu.
Hakika JPM amefariki.Lakin kwa kuwa alikuwa bora ,basi anakumbukwa ,kwa watu kuanzisha nyuzi.Hakika Mungu amrehemu huyu mzalendo wa kweli.
 
Halafu kuna majinga humu yanamuita shujaa wa Africa
Kama ninyi wa Tanzania mnamuona sio shujaa wanu Kuna wenzenu katika inch zingine wanamuita nabii Na wengine shujaa wa Afrika ila siwezi shangaa kwasababu nabii akubaliki kwao Na umuimu wake na fikiri amuwezi kuona kwa kipindi iki but Na amini katika kizazi kingine kijacho they Will call him nabii au shujaa like Thomas Sankara, Na wengine wengi

Izo ni baadhi tu ya comment ambazo i decided to show you how Africa accepted magufuli like a prophet for them

And others countries Say magufuli he cames to show the world if God exist if you trust in him every thing for you Will be impossible

Sasa ninyi mkataheni tu kitakacho wa kuta mmmmm mtajutia
Screenshot_20211003_174257_com.google.android.youtube.jpg
 
Hayo ni yako mtoa mada.. Kwangu mimi Hayati JPM anaishi.. Na Nabii aliyekuja kwetu kutufumbua macho na kutuonyesha kuwa watanzania tunaweza kuendeleza nchi yetu bila utegemezi wa nchi za magharibi.. Ni nabii aliyekuja kutufundisha umuhimu wa kufanya kazi na kuipenda nchi yetu.. Ni Nabii aliyekuja kwetu kutuonyesha kuwa watu wanaoishi kwa wizi wa ujanja ujanja wanadhibitika.. Ni Nabii aliyekuja kwetu kutufundisha jinsi Taasisi ya Urais inavyotakiwa kufanya kazi.. Na kama ilivyo ada, manabii wengi huwa hawaishi muda mrefu na jamii zao.. Kaongoza kipindi kimoja akitamani kumalizia kipindi cha pili, lakini mMwenyezi Mungu akamwambia kijana wangu inatosha.. Njoo upumzike.. Nasi tuliomuelewa tutamkumbuka daima.. Na jina lake litaishi vizazi hata vizazi...

Mwenyezi Mungu aliona watu wake wanateswa na mtu mmoja akaonelea ni kheri ampeleke motoni mapema ili waja wake wasiendelee kuteseka.
Huo ndio ukweli acheni mbwembwe za kijinga
 
Habari!
Kwakuwa jf ni huru sidhani kama uzi huu uliojaa mawazo huru usio na kejeli wala matusi sitarajii kwamba utafutwa.

Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kwa Watanzania, pasi kupapasa nitajibu kuwa "Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania, itachukua miaka mingi sana kuipndoa".

Watanzania katika serikali za awamu ya 1, 2,3 na 4 kidogo walikuwa watu wanaozifahamu haki zao na wakati mwingine walithubutu kuzidai kwa nguvu walipoona zinacheleweshwa na wenye mamlaka.

Ila tangu Magufuli aingie madarakani ile style yake ya kuwaminya waliojaribu kuinunua shingo zao imeleta athari kubwa kwa Watanzania.

Sasa hakuna mtu tena wa kuweza kuipinga serikali kwa vitendo.
Watanzania wamepandikizwa woga.

Nakumbuka mkwara aliowapigia wanafunzi wa UDSM endapo wataandamana, naukumbuka mkwara aliopigwa Majaliwa endapo ndugu zake wataandamana.

Na kumbuka pale alipokuwa akitumia neno fyokofyoko akimaanisha uchochezi.
Watumishi walikuwa wapole kwa miaka yote 6 huku wakisubiri Mungu aongee na Rais juu ya hatma yao.

Hii hofu haitafutika hivi karibuni. Si mmeona tozo zilivyoingizwa kikatili ila wananchi wakaishia kulia mitandaoni tu.
Kwani yeye Magu mwenyewe anasemaje huko motoni aliko?.
 
Kwa kweli akachomeke tu....
Aliaanza vizuri tu na kumkosha kila mwenye machungu na rasilimali za nchi...
Lakini baadae tukajua ilikuwa ni akili ya kifukara na kimasikini ya kumuona kila aliyefanikiwa ni mhalifu..
Hapo ndipo Dua la Kuku lilimpata Mwewe..............
 
Mwenyezi Mungu aliona watu wake wanateswa na mtu mmoja akaonelea ni kheri ampeleke motoni mapema ili waja wake wasiendelee kuteseka.
Huo ndio ukweli acheni mbwembwe za kijinga
Hujui chochote.. Unaandika kwa hisia zako za chuki tu.. Na sitakuambia chochote..
 
Magufuli ameleta awareness kubwa sana kwa Watanzania juu ya mambo mengi yawahusuyo wao binafsi na taifa kwa ujumla.
Wewe kakuachia awareness juu ya kumsifia .
Unawajua watu wangapi waliofikishwa mahakamani KISA mitandao????
Bensanane ameuwa kisa kuichallenge PhD ya bwana mkubwa kwenye gazeti la raia mwema! Nikiangalia sana utagundua kwamba kweli yule hakuwa mtu mwenye PhD!
Tundu lisu alimiminiwa risasi kama kifaru aliyeua binadamu kumbe tu kutoa maoni mbadala juu ya madini. Sheria zilipitishwa bwana JPM akiwa wazir mwandamizi lakini hajawahi kuzipiga popote.
Gazeti la mawio, mwanahalisi na mengi yalifungiwa hulu yale ya bahari yetu na Tanzanite yakiachwa yatukane watu.
TBC ikawa rasmi tawi la chama
Alikuwa kiongozi mbaya yule
 
Unaelewa maana ya awareness?
 
Unaelewa maana ya awareness?
Wewe unaelewa ??? Unakuza vipi awareness huku unafungia vyombo vya habari na kutisha waandish ( kabendera?)
Unakuzaje hiyo awareness kwa kutunga sheria kandamizi za mitandao?
Unakuza awareness kwa kukataa bunge live?
Unakuza awareness kwa kupora watu korosho zao????
 
Katika awamu zote sita, hofu ilikuwa katika kiwango cha chini kabisa wakati wa Magufuli.
Labda wewe hukuwepo Tanzania na hujarudi nchini kushuhudia! Kutoka asubuhi ukirudi nyumbani salama jioni familia nzima wanashangilia! Kukicha salama utoke Tena ni furaha na wasiwasi, hawajui kama watakuona Tena! Lakini Mungu ni Fundi, akaliua kibudu pamoja na kujimwabafy kote Kule![emoji2][emoji2956]
 
Hofu kubwa ni alivyo imaliza Chadema kutoka kuwa chama cha Kitaifa na kubaki kuwa chama cha Mkoa wa Rukwa. Na kusaidia wabunge 18 kwa ajili ya kurekebisha mahusiano na nchi za nje.

Magufuli kiboko ila amefanya kazi nusu kwa miaka 5 ya kwanza, kwa kutubakizia Mbunge mmoja , awamu hii ilikuwa asafishe kweupe asibakize Mbunge hata mmoja wa Vibaraka wa Shoga Amsterdam.
Asante sana. Umesema ukweli kabisa.

Kwa kuminya na kuua Demokrasia, Magu ametuletea wabunge wa hovyo kuliko wakati wote, kwa kulazimisha Wakurugenzi watangaze wagombea wa CCM hata kama kura hawajapata za kutosha, na ambao wametuletea tozo hizi zote.

Hata huyu mama ni chaguo lake yeye mwenyewe. Hakupangiwa na mtu kumchagua Makamu wake.

Haya yote ni legacy yake
 
Habari!
Kwakuwa jf ni huru sidhani kama uzi huu uliojaa mawazo huru usio na kejeli wala matusi sitarajii kwamba utafutwa.

Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kwa Watanzania, pasi kupapasa nitajibu kuwa "Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania, itachukua miaka mingi sana kuipndoa".

Watanzania katika serikali za awamu ya 1, 2,3 na 4 kidogo walikuwa watu wanaozifahamu haki zao na wakati mwingine walithubutu kuzidai kwa nguvu walipoona zinacheleweshwa na wenye mamlaka.

Ila tangu Magufuli aingie madarakani ile style yake ya kuwaminya waliojaribu kuinunua shingo zao imeleta athari kubwa kwa Watanzania.

Sasa hakuna mtu tena wa kuweza kuipinga serikali kwa vitendo.
Watanzania wamepandikizwa woga.

Nakumbuka mkwara aliowapigia wanafunzi wa UDSM endapo wataandamana, naukumbuka mkwara aliopigwa Majaliwa endapo ndugu zake wataandamana.

Na kumbuka pale alipokuwa akitumia neno fyokofyoko akimaanisha uchochezi.
Watumishi walikuwa wapole kwa miaka yote 6 huku wakisubiri Mungu aongee na Rais juu ya hatma yao.

Hii hofu haitafutika hivi karibuni. Si mmeona tozo zilivyoingizwa kikatili ila wananchi wakaishia kulia mitandaoni tu.
Kaacha Wabambikiziwa kesi magerezani
 
Back
Top Bottom