Nikiulizwa Rais Magufuli ametuachia nini kikubwa, nitasema "Ametuachia ujasiri dhidi ya corona", hofu ya corona hakuna kabisa Tanzania.

Nikiulizwa Rais Magufuli ametuachia nini kikubwa, nitasema "Ametuachia ujasiri dhidi ya corona", hofu ya corona hakuna kabisa Tanzania.

Jiwe alijifanya mwamba na akaamini ushirikinal badala ya science mwisho wa siku corona ikampiga chini. Thanks God kwa kuingilia kati.
acha ujuha wewe.corona inauwa ndani ya wiki moja? imuue raisi halafu wasaidizi wake ,madakatari wake wasiuumwe hata mafua? wengine tumekaa kimya usituamshie hasira bure.we know every thing
 
Na bado mtamuimba Sana lkn hafufuki ng"o!!
Hili zimwi a.k.a dikteta lenu hv sasa linateseka huko liliko.

Usirudie kulitaja tena hapa jukwaani
Hata wewe utakufaa ni swala la muda tu huu utopolo uliojaa chuki mnaoandika mitandaoni hauwasaidii
 
Madaktari waliokuwa wanamtibu waliithibitishia dunia kuwa Magufuli alikufa kwa tatizo la moyo. Alikuwa na kifaa cha kusaidia mwendo wa mapigo ya moyo kwa zaidi ya miaka kumi. Ila mafisadi mnambambikia corona na Mungu anawaona!! Magufuli alimwamini Mungu wala siyo ushirikina na dunia yote inajua hivyo. AQlituongoza watanzania kumtanguliza Mungu mbele kwenye vita ya corona na ushindi ulipatikana na mpaka leo wakati dunia inahangaishwa na mawimbi mbalimbali ya corona Tanzania tuko salama japo HATUVAI BARAKOA WALA HATUJACHANJA NA HATUTAKI KUCHANJA UKIWAMO NA WEWE!!
Ukimwi, moyo baadae coronavirus ikamaliza manina
1644080007968.jpg
 
Mask wanavaaga tu kwenye vikao mbele ya kamera ili kuwafurahisha mabwana wakubwa wa kibeberu !!! Mtu anatoka nyumbani kwa daladala iliyojazana bila mvaaji wa barakoa. Akifika kwenye kikao mbele ya kamera anavaa barakoa. Mama naye anavaa barakoa ahutubiapo mbele ya kamera. Masharti ya pesa za corona hayo!!!
😆😆 Umesema kweli tupu
 
Corona hakuna na hela zao za kupambana na changamoto zake zimeliwa na wajamaa mpaka wamevimbiwa.
Kwenye elimu hela ya corona ilitafutiwa namna ya kuila na wakaja na mradi wa kichekesho sana ambao wajanja wakahalalisha kuyala mamilioni ya shilingi. Iko hivi: Wakabuni andiko la utekelezaji wa mtaala toka chekechea hadi kidato cha sita. Wakapanga ratiba eti kila siku mada itakayofundishwa iwe hiyo hiyo Tanzania nzima, bila kujali ukweli kuwa hali inatofautiana, miundombinu inatofautiana hata rasilimali watu inatofautiana. Halafu wakabuni visemina vya utekelezaji wa mtaala nchi nzima watu wakala pesa!! Mama kapigwa mchana kweupe!! Sasa uliza mradi huo usiokuwa na tija na usiotekelezeka kiuhalisia umegharimu mamilioni mangapi unaweza kuzimia!
 
Je,Tanzania ingekuwa wapi kama ingepata kiongozi mzalendo?

1: Uchumi wa Tanzania ungekuwa wa kati daraja la juu tofauti na hali ilivyo sasa ambapo Tanzania imeporomoka kutoka nafasi yake ya 8 kati ya nchi 10 zenye uchumi bora Africa mpaka nje ya top 10 na kuzidiwa na vinchi kama Ghana na Angola

2: Nidhamu na uwajibikaji kazini ungekuwepo.Leo hii tunashuhudia wananchi wakihoji kuhusu hali ya umeme nchini pasipokuwa na majibu au majibu yenye uwalakini. Lakini pamoja na hayo bado viongozi wamebaki wakiwa maofisini pasipo kuwajibika kwa namna yoyote.

3: Kwa miaka kadhaa Tanzania imekuwa ikiifanya juhudi kubwa kujikwamua kiuchumi kwa kuanzisha miradi mikubwa na ya kimkakati. Licha ya kwamba tangu Rais S.S.H aingie madarakani hakuna mradi wowote wa kimkakati ulioanzishwa bali pia hata ile miradi iliyokuwa ikiendelea imekuwa ikisuasua

4: Umeme usingekuwa wa mgao.Tangu Rais S.S.H aingie madarakani hali ya upatikanaji wa umeme nchini imekuwa mbaya sana.Hali hii imepelekea kurejea kwa mgao wa umeme ambao watanzania wengi walishausahau tangu miaka kadhaa iliyopita.Hali inayopelekea kuwatesa wananchi hususan wale wanaotegemea umeme kujipatia vipato katika shughuli zao za kila siku.

5; Hali ya upatikanaji wa maji imekuwa ya kusuasua.Kwa miezi kadhaa hususan katika jiji la Dar es salaam pamekuwa na mgao wa maji.Hali iliyopelekea kukosekana kwa maji kwa muda mrefu katika maeneo mengi.Hali ambayo hakuwahi kushuhudiwa hapo awali.

6: Tozo zisizokuwa na tija na zilizoua uchumi wa wengi.Serikali ya awamu ya sita imedhulumu na kunyang'anya kwa nguvu fedha za wananchi kwa kigezo cha tozo katika miamala ya simu.Mama mjane anapomtumia mgonjwa wake hospitali kwa ajili ya matibabu anakatwa fedha ambayo kimsingi haikuwa ya biashara. Kwa mujibu wa report kutoka Vodacom hivi karibuni miamala ya simu imepungua kwa asilimia zaidi ya 30!.Hili si jambo la kupuuza hata kidogo kwa uchumi wa nchi.Ni sawa na kutoa fedha mfuko wa kushoto na kuhamishia Kulia.

7: Kupanda kwa bei ya Mbolea.Mara tu baada ya awamu ya sita kuingia madarakani bei ya mbolea ilipanda karibu mara mbili ya bei ya awali.Hii ni imepelekea uchumi wa watanzania wengi ambao ni masikini na wanategemea kilimo kudhoofika.

8; Kupanda kwa bei ya mafuta ya kupikia
9; Kupanda kwa bei ya mafuta ya petrol
10; Kupanda kwa bei ya bidhaa za ujenzi kama cement,Nondo n.k
11; Teuzi za viongozi wasiokuwa na weledi kwa kigezo cha favour/Undugu/Kujuana (Mf. Riziwani Kikwete,Nape Nauye n.k) Tanzania ina vijana wasomi na wenye upeo mpana wa kifikra. Lakini cha kushangaza teuzi zimekuwa hazina matumaini ta kuipeleka Tanzania kule tunapotarajia.

12: Ukosefu wa uzalendo na ubadhirifu miongoni mwa watumishi wa umma.Siku si nyingi tumeshuhudia kiongozi mkuu wa serikali akiwaasa watumishi wake wale kwa urefu wa kamba zao.Hii inaashiria kwamba hata kiongozi mkuu anashiriki katika ulaji huo.Hali hii ni hatari kwa rasilimali za nchi.

13; Wananchi hususan wa hali ya chini kukosa nafasi katika nchi yao.Siku si nyingi tumeshuhudia wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama machinga wakinyanyaswa kwa kuhamishiwa katika maeneo yasiyokuwa tija kwao.Vuta nikuvute hii imepelekea hali ya unyonge na sintofahamu miongoni mwao na kupelekea kuongezeka kwa umasikini miongoni mwa watanzania

14; Mikopo isiyokuwa na tija kwa taifa.Tangu Tanzania ipate uhuru viongozi wake wote walisisitiza kufanya mambo yetu kwa fedha zetu wenyewe bila kutegemea wahisani. Tanzania imebarikiwa rasilimali za kila aina.Mito,Maziwa,Bahari,Madini kama Tanzanite,Mbuga za wanyama,Gesi n.k Inashangaza Sana kuona kiongozi badala ya kusisitiza au kubuni namna ya kuzitumia rasilimali hizi ziweze kuwa na tija kwa watanzania,Badala yake tumekuwa tukijivunia mikopo!

15 ; Kuongezeka kwa gharama za uunganishaji umeme kutoka 27,000 iliyokuwepo mpaka zaidi ya 300,000 ya hivi sasa.Hali hii imepunguza mno kasi ya usambaaji wa umeme

16 ; Muingiliano baina ya mihimili kwa kigezo cha uchama.Inasikitisha kuona kiongozi wa mhimili mmoja anakosa uwezo wa kuikosoa na kuurekebisha mhimili mwingine kwa kuhofia kibarua chake.hili tumelishuhudia baada ya kuona spika wa bunge la JMT kujiuzulu baada ya kuhoji kuhusu mikopo na tozo.

17 ; Safari zisizokuwa na tija wala umuhimu kwa taifa.Tumeshuhudia safari nyingi mno za nje ya nchi,Safari hizi zimekuwa zikiigharimu nchi fedha nyingi.Safari za vikao visivyokuwa na tija kama mkutano wa kujadili athari za gesi ya ukaa sidhani kama ina tija hususan kwa nchi ambazo bado uchumi wake ni mdogo

18 ; Kukosekana uhuru na ukandamizaji wa demokrasia. Tunaweza kusema kwamba pia hata katika awamu zilizopita hili lilikuwepo, Lakini hili la sasa limekuja kwa namna tofauti.Wakati mwingine baba anaweza kumpa mtoto adhabu ya kulima shamba,Mtoto akalia na kulaumu sana,Lakini shamba hilohilo baadaye likaleta chakula mezani wote wakala na kufurahia. Ila tofauti iliyopo sasa,Hakuna chakula kinachokuja mezani!

19 ; Kushughulikia zaidi mambo yasiyokuwa na tija kwa wananchi kuliko yale yenye umuhimu na tija kwa watanzania. Imekuwa jambo la kawaida kwa awamu hii kujihusisha zaidi na makongamano,Semina elekezi,Birthday Party pamoja na hafla mbali mbali badala ya kujikita katika kufufua na kubuni miradi ya kimaendeleo itakayosaidia kuwapunguzia wananchi mzigo wa umasikini na kuinua uchumi.Hafla ya machifu na watemi si muhimu kama hafla ya utiaji saini mradi wa uchimbaji na usambazaji wa gesi ya Mtwara!

20 ; Kukosekana ajira. Ubunifu na uibuaji wa miradi mipya si tu umekuwa na tija kiuchumi Bali umekuwa ukiajiri vijana wengi.Kukosekana kwa ubunifu na sera mbovu za serikali zimesababisha kukoseka kwa ajira miongoni mwa vijana wengi

21 ; Kuongezeka matukio ya uhalifu.
Mara tu baada ya awamu ya sita kushika hatamu sote tumeshuhudia jinsi wimbi la uhalifu lilivyoongezeka.Sio tu matukio ya wizi na ujambazi bali mpaka uchomaji wa masoko kama Kariakoo, mchikichini n.k wizi mauaji na utekaji nyara vimeongezeka kwa kasi mno. Hii inaonyesha udhaifu katika usimamizi wa majeshi yetu ya ulinzi na usalama

22 ; Kuongezeka gharama za simu
Kutokana na kodi za miamala Kuongezeka kampuni za simu zimejikuta zikilazimika kupandisha gharama za muda wa maongezi na huduma zinginezo za simu kama vile huduma za vifurushi ili kuweza kubalance gharama za uendeshaji. Hali hii imesababisha mzigo mzito kwa wananchi hasa ukizingatia mawasiliano ni nyenzo muhimu sana katika shughuli zao za kila siku

Hakika ni mambo mengi ambayo yamekuwa yakifanyika kinyume na matarajio ya watanzania wengi ambao waliwaamini viongozi wao na kuwaweka madarakani huku wakiwa na matumaini makubwa ya kuondokewa na maradhi, ujinga na umasikini ambao ndio maadui wakuu wa taifa kama ilivyobainishwa na Mwl Nyerere badala yake watanzania hao ambao wengi ni masikini na wameteseka kwa umasikini kiasi cha kusahau tarehe zao za kuzaliwa huku wakishuhudia wale waliowachagua wakikata keki ikulu!

Wacha kazi iendelee!
 
Shujaa Magufuli alikuwa wa kwanza kusema dunia ijifunze na ikubali kuishi na corona. Leo hii hakuna hata mmoja mwenye ndoto za kuimaliza corona. Sana sana wanaifanyia biashara ya kuchanja chanjo busta kila miezi mitatu!! Watanmzania kwa kufunguliwa macho na Magufuli wameligomea hilo hata kama Magufuli hayupo. Chanjo zimewadodea mpaka zitaexpire!!! WAulize wamechanja asilimia ngapi nya watanzania, watainama chini kwa aibu!! Watanzania tuna afya njema , tunadunda, na tunamshukuru Mungu kwa kutulinda dhidi ya majambazi ya kibeberu na mawakala wao waliojitahidi sana kutupandikizia hofu ili watuchanje lakini hawakufanikiwa!!
 
Hadi sasa wamekuja kwa kubadili gia angani matokeo yake hata machanjo yanazidi kuwafia tu. Chanjo kampeni zimewadodea. Watanzania wamegoma kabisa. Hata wauguzi wanalazimishwa kuwachanja watu hawakuchanja. Hili kwa kweli ni somo kubwa sana. Mama kadharaulika sana kwa muda mfupi. Na eneo limemshusha ni pamoja na corona.

Ukitaka kujua corona was special mission nambie kiongozi gani kutoka ikulu alifariki tena baada ya Magufuli kufariki. Still kwa utaalamu wangu rais Magufuli hakufa kifo cha kawaida. He was assassinated. Hili nitaendelea kusema hadi mwisho wa maisha yangu. Duru za kitabibu zinagoma kabisa kuelezea vifo vyao. It was a plan kuhakikisha inner cycle yake inaondoka.

Mungu amlaze mahali pema peponi rais wetu mpendwa. Tuna mmiss sana
Move on, achana na hiyo historia ambayo hutaweza kuleta ushahidi. JPM yes kwenye maamuzi ya corona alikuwa mtu na nusu otherwise tungekufa kama kuku wakati wa kideri.
 
Magufuli hatunaye lakini kazi zake zitadumu milele!! Kila ukisikia makao makuu ni dodoma utamkumbuka Magufuli!! Kuanzia mwakani kila ukiwasha umeme utamkumbuka Magufuli kwa Kufufua Stglers George. Maadui wa Magufuli hawana namna ya kumfunika japo hatunaye!! Waulize mawakala wa corona waliotaka kutupandikizia hofu kama walifanikiwa!! Kivuli tu cha Magufuli kimewashinda na chanjo zimewadodea!!
 
Magufuli tutakukumbuka daima!!! Mabeberu uliwanyoosha, Tanzania haikuwa shamba la bibi tena chini ya awamu ya tano!!!
 
Na bado mtamuimba Sana lkn hafufuki ng"o!!
Hili zimwi a.k.a dikteta lenu hv sasa linateseka huko liliko.

Usirudie kulitaja tena hapa jukwaani
Umeshakaza uchi !? Au nikuunganishe nayule anayeuza vungutee???
 
Mabeberu yamenuna.
Ukitaja Magufuli mabeberu na mafisadi wanapata kichefuchefu. Japo hayupo lakini kivuli chake bado kinawaendesha!! Kwa mfano mabeberu na mawakala wao wameshindwa kabisa kupandikiza hofu ya corona ili watanzania wakubali kuchanjwa!
 
Hata wewe utakufaa ni swala la muda tu huu utopolo uliojaa chuki mnaoandika mitandaoni hauwasaidii
Kufa ni kufa kibaya ni kutangula. Jini lenu limetangulia kabla yangu. Tena limekufa kizembe Sana, kifo cha korona kwasabb ya ushamba na kuendekeza ushirikina wa kujifukiza.

Baada ya kuwa na hali mbaya likaenda hospitali ya uchochoroni likakata roho huko.
 
Back
Top Bottom