Nikivaa kinga nachelewa sana kumwaga, je hili ni tatizo?

Nikivaa kinga nachelewa sana kumwaga, je hili ni tatizo?

Msaidieni huyu motto, ataacha kutumia xondom afe. Namshauri anunue condom za rafuraider
 
Kuna baadhi ya kondom ambazo huwa zina ungredients inayoitwa Benzocaine ambayo huwa inazuia premature ejaculation na kuongeza muda wa erection, hii ni kwa sababu ina inhibit sensitivity ya penis! Samahan kwa kuchanganya lugha...
 
Back
Top Bottom