Nikivipi kusafiri kama kasi ya mwanga kunadhoofisha(kusimamisha)umri kwenda mbele..?

Mkuu Smart911 kwanza kudos.

Ila katika sayansi usiseme haiwezekani kusafiri kwa spidi ya mwanga. Inawezekana ni swala la muda tu na teknolojia inavyokua.

Nina uhakika kabisa kama ungemuuliza banu ya babu ya babu ya babu yangu mtemi Matugutu huko karne ya 9 kama inawezekana binadamu kusafiri kwa ndege angekataa. Ama umwambie kuwa unaweza kuwasiliana na mtu mwingine yuko mbali duniani kwa simu angekuona ni mrozi.

Ni hivi juzi tu watu walikua wanadhani sound barrier(mac4) haiwezi kuvunjwa ila tunashuhudia sasa hivi fighter jets zinavunja.
Dont say haiwezekani when it comes to science na evolution ya ubongo wa binadamu. Miaka millioni 100 ijayo jaribu kupata picha itakuwaje(ambayo hio ni michache kwenye universe ukilinganisha na hii bilioni 4.6tuliyopitia)
 
Mada ni nzuri lakini ni ngumu kweli kweli, mkuu nimerudia post yako kama Mara tano nimepata picha lakini IPO kwenye negative inahitaji kusafishwa.
 
Mada ni nzuri lakini ni ngumu kweli kweli, mkuu nimerudia post yako kama Mara tano nimepata picha lakini IPO kwenye negative inahitaji kusafishwa.

Hahaaa hivo hivo mkuu. Hata mimi ilinichukua muda kuelewa. Fizikia sio mchezo
 
he he! muda ni nini..?
 

Ipo Hivi:
Particle (that has rest mass) needs an infinite amount of energy to accelerate to the speed of light. when an object moves at this speed of light, its mass will become infinite. That's the reason why no object can move at the speed of or faster than the speed of light. The closer to the speed of light you get a particle, the more energy is required to go faster.


Kuhusu Sound Barrier break imewezakana kwa sababu,
The speed of light is much faster than the speed of sound. Sound moves at 343 metres per second (thats about 770 miles per hour!) The speed of light is a little trickier. In a vacuum it is roughly 300 000 000 metres per second (so nearly 900 000 times faster than sound!)


Kufikia the speed of light ni bado sana... ndiyo maana hata ukizungumzia kusafiri sayari za mbali wana count kwa kutumia light year... Speed Of light siyo mchezo.



cc: mahondaw
 

Baelezeeee Baelezeeee babaa
Cc Smart911
 
thedaydreamer
Smart911
GeoMex
Wakuu hebu kwanza tuanzieni hapa muda ni nini..?
nataka mnijibu kadri ya vile mnavyoelewa kuwa muda ni nini


Ipo Hivi:

Muda unatokana na mabadiliko. Huwezi kuhesabu muda kama hauna mabadiliko. Dunia inahesabu masaa kwa sababu kuna mabadiliko. Mabadiliko yasingekuwapo pasingekuwapo na kitu kinachoitwa muda. Hayo mabadiliko ni kama mchana na usiku.

Aidha, muda unatofautiana kati ya desturi na desturi, mtu na mtu, kazi na kazi na kadhalika. Kwa mfano, kwa mtu alikufa kwake muda ni sifuri kwa sababu mwili wake hauna mabadiko ya aina yoyote kwa vigezo vya kiumbe hai.


cc: mahondaw
 
mkuu muda wala si mabadiliko! na unaweza kuhesabu mudahata kama hakuna matukio.. muda umetengenezwa na space naweza sema ni existance of space,kadri space inavyokuwepo ndivyo na muda unavyokuwepo. kinachotokea kwenye space ni actions na vitu kuexist lkn time ipo palepale,ukitaka kuharibu muda haribu space! sio uharibu matukio wala mabadiliko hizo ni action tu zinazo happen kwenye space
 

Naelewa yote hayo.
Nilichisema ni kuwa hilo neno "haiwezekani" lifikirie upya. Naona umenielewa umetumia neno "bado sana"

With science hakuna haiwezekani. Ni swala la muda tu
 

Unaposema muda ni existence of space, siyo kwa asilimia zote. Space ni nini? Space ni muendelezo au uwepo wa eneo ambalo lipo wazi, halijafungamana na kitu chochote. Kuna kitu kinaitwa Black hole. In black hole time imasimama kabisa, there is no time, time doesn't exist... kuna maeneo mengine outer space huko time dosent exist kabisa. Hakuna mawio wala machwio, hakuna season zozote... hakuna time... there is no life.

Huwezi kuhesabu muda bila matukio. Ndiyo maana hata wazee wazama hizo walikuwa wanahesabu muda kwa kulinganisha na matukio... mingo.. mihula...


cc: mahondaw
 
Naelewa yote hayo.
Nilichisema ni kuwa hilo neno "haiwezekani" lifikirie upya. Naona umenielewa umetumia neno "bado sana"

With science hakuna haiwezekani. Ni swala la muda tu

Kwa speed of light bado sana ndugu... Speed of sound ishavunjwa na super sonic jumbo jets.

cc: mahondaw
 
Kwa speed of light bado sana ndugu... Speed of sound ishavunjwa na super sonic jumbo jets.

cc: mahondaw

Nadhani umenielewa sasa. Bado sana......lakini inawezekana mbeleni
Halafu mkuu. Super sonic so far ni Jet fighters na Concorde tu hakuna Jumbo(tembo/kubwa) jet yenye speed hio. Au nijulishe mojawap
 
Nope... You explain according to Einstein theory of relativity which claims that nothing travel faster than the speed of light... and you know that theory is an acceptable assumptions with no proof... Now days even greatest living Physicist opposes Einstein theory of relativity to say nothing moves faster than light... If you had ever read The theory of ether... Heavily supported by Einstein's favorite Genius "Tesla " lonely greatest engineer and electrical engineer of all the time who claimed to have detected cosmic rays that travels with 1000's times the speed of light during his experiments of generating high power frequency and High voltages generation at Niagara Falls in US. Tesla had ability to harness more voltages from the space "ether" and he removed an oil engine to replace with Free radiant charged motor /engine which marked the beginning of electrical vehicles . But FBI and US saw Tesla would kill oil market and after Tesla death FBI took his inventions and patents to unauthorize Tesla ether theory. Here is where Einstein theory which in reality is 2D theory obeyed and practised till now. To say nothing moves faster than light you have to refer Einstein's theory... Otherwise it's not.
 
Nadhani umenielewa sasa. Bado sana......lakini inawezekana mbeleni
Halafu mkuu. Super sonic so far ni Jet fighters na Concorde tu hakuna Jumbo(tembo/kubwa) jet yenye speed hio. Au nijulishe mojawap

Super Sonic Boom aircraft ndugu.


cc: mahondaw
 
ni kweli
kutokana na nazalia za kifizia na maswala ya anga katika nazalia hii inajumuisha sana nazalia yenye mada kubwa sana ambayo ni gravity:
mfano wa nazalia hii
1:black hole
hili ni sehemu ambayo ina nguvu sana katika anga kiujumla kwenye maswala ya nyota ya anga ina semakana kama utaweza kupita kwenye hilo shimo giza ni rahisi kupeleka miaka mbele au nyuma na wakati uliopo.hii inaweza kubeba nguvu kubwa mvutano na kunyonya kwa kasi hata mwanga ukipita na giza lote kuvutwa na mvutano.
2:revolution and rotation of star and planet
hii mada ndio inaumiza watu kichwa sana
mfano sayari yetu kuzunguka jua ina tumia siku 360 ili tupate mwaka na ndipo hapo mzunguko huweza kujua umri na wakati binadamu kuendelea nisitoke kwenye mada mnaweza kuzaliwa pamoja na wote mkawa na miaka 20 mfano mmoja wenu haka toka kwenye sayari na asiwe kwenye sayari yeye hata kuwa na mzunguko wowote kwa vile mvutano hutegemea hutembezi(spidi).
mfano mwengine kila sayari au nyota ina majuma na masiku.kama mtu anaishi duniani na mwengine anaishi marsi basi mnaweza kiumri hata kibinadamu muendelezo wa hukuaji mkatofautiana
thnk
 
badili unavyowaza jibu ni jepesi mno!
hivi kwenye vacuum hakuna muda..?
mkuu kama hakuna space hakuna muda,muda hautegemei tukio upo kwakuwa space ipo kitendo cha chumba kuwa tupu haimaanishi muda haupo kadri uhali wa existance unavyokuwepo ndio time ina be made.
usidanganywe na action zinazotokea hayo ni matendo tu but time inajitegemea think deep.
 


Hakuna kitu kinachoweza kusafiri kwa mwendo mkubwa zaidi ya mwanga, usanii wote wa Einstein uko hapa, ukiweza kuthibitisha hili utaibaidilisha Dunia!
 
Hakuna kitu kinachoweza kusafiri kwa mwendo mkubwa zaidi ya mwanga, usanii wote wa Einstein uko hapa, ukiweza kuthibitisha hili utaibaidilisha Dunia!
sijazungumzia mwendo kuzidi kasi ya mwanga! soma tena uelewe
 
sijazungumzia mwendo kuzidi kasi ya mwanga! soma tena uelewe


Hata sawa na mwendo wa Mwanga kwa mujibu wa Msanii Einstein haiwezekani, ukitaka kufa jaribu kuthibitisha kinyume chake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…