Nikivipi kusafiri kama kasi ya mwanga kunadhoofisha(kusimamisha)umri kwenda mbele..?

Jiulize..Akisafiri kwa hiyo speed of light ataenda wapi!!??maana in solar system only earth supports life!!
 
heheheh mpwa!! duuuh kwa kweli umem cc mahondaw vitu vigumu sana japo ni bebiako,hahahah nahisi ushamvuruga huko aliko
 
Mkishapata majibu mnistue. Niko jukwaa la MMU.
 
Jiulize..Akisafiri kwa hiyo speed of light ataenda wapi!!??maana in solar system only earth supports life!!
ha ha ha.. mkuu ulimwengu ni mkubwa sana hata kasi ya mwanga inamilikiwa na space! pamoja nakuwa unakasi kubwa sana lkn hizi tambo zake zinatambia kwenye space.. kuna sehemu nyingi tu za kwenda na unaweza kutumia kasi ya mwanga na ukachukua muda mrefu tu
 
Ni nani aliwahi kusafiri kwa namna hiyo na akapata matokeo hayo, au hayo uliyosema yana uthibitisho gani kuwa ni mambo halisi
 
Piga yote mkuu..
 
ni nadharia
Basi kwa nadharia tu unabidi usafiri ndani ya chombo cha namna gani sijui kwa sababu upepo utakaofuliwa kutokana na iyo speed unaweza kukuchanachana na hata ushahidi usionekane!!
 
Basi kwa nadharia tu unabidi usafiri ndani ya chombo cha namna gani sijui kwa sababu upepo utakaofuliwa kutokana na iyo speed unaweza kukuchanachana na hata ushahidi usionekane!!
Mkuu mambo mengi kwenye sayansi yalianza kama nadharia na baadae yakawezekana,kwa mfano zamani binadamu kwenda kwenye sayari nyingine ilikuwa ni nadharia ila leo inawezekana!!.......kwa hiyo usiipuuze nadharia hata kidogo kwa sababu binadamu anaevolve kila siku!........binadamu ana akili nyingi sana na inasemekana hadi sasa hivi binadamu hajaweza kutumia hata asilimia moja ya akili yake,je siku akiweza kuitumia yote asilimia mia moja atagundua mangapi????!
 
Basi kwa nadharia tu unabidi usafiri ndani ya chombo cha namna gani sijui kwa sababu upepo utakaofuliwa kutokana na iyo speed unaweza kukuchanachana na hata ushahidi usionekane!!
wanaweza kufanya hivyo kwenye vacuum
 
Uko sahihi mkuu na nimekuelewa sana ila mwanzo nilikuwa sijakuelewa nilijua unaongea kwamba ni jambo halisi
 
Duu ndio Kwanzaa naiskia leo
Hahaaa pole mkuu..

Travelling back in time nilianza kuiona kwenye movie series ya THE FLASH

Hata ukiangalia kwenye movie kama Hujafuatilia vizuri huwezi kuelewa nini kinaendelea.

Vingine niligoogle changanya na movie ndio nikapata mwanga..[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…