Nikivipi kusafiri kama kasi ya mwanga kunadhoofisha(kusimamisha)umri kwenda mbele..?

Nikivipi kusafiri kama kasi ya mwanga kunadhoofisha(kusimamisha)umri kwenda mbele..?

Jiulize..Akisafiri kwa hiyo speed of light ataenda wapi!!??maana in solar system only earth supports life!!
 
Ipo hivi:

Kwanza ukae ukijua, kamwe huwezi kusafiri na kufikia mwendo kasi wa mwanga, kwa sababu nguvu inayotakiwa ni kubwa sana.

Pale kasi yako inapoongezeka, uzito wako pia huongezeka (ukilinganisha na uzito wako ukiwa umetulia tu), kwa hiyo nguvu itakayohitaji kukusukuma ni kubwa sana.


Endapo utafanikiwa kufikia mwendo kasi wa mwanga, Muda nao husimama kusonga kabisa.
Tuseme unasafiri kwa asilimia 99 ya mwendo kasi wa mwanga, hii itapelekea muda kupungua kasi yake ya kawaida mara 7 kwako, tofauti na yule aliyekaa akikutazama.

Endapo utasafiri kwa mwendo huu kwa mwaka , utamuona yule anayekuangalia akiwa katulia miaka yake 7 imepita wakati unasafiri. Wakati huo ukiwa unamuangalia ukiwa angani. Utamuona yeye akifikia miaka saba sivyo kawaida, haraka sana yani. Ni kama vile uwe umeshikilia remote ya TV alafu ushikilie fast-forwading, utawaona wanafanya vitu kwa speed ya mara 7 zaidi yako wewe, wakati wewe watakuona unafanya vitu taratibu mara 7yake.

Endapo utaamua kusimama, utajikuta wenzako wamesogea mbele kwa miaka 7, wakati wewe umesogea mwaka 1 tu.

Kwa hiyo wewe utajikuta umesogea mwaka 1 tu, ilo upo mdogo kwa miaka7, wakati wenzako washasonga mbele kwa miaka 7.

Kama ulikuwa una miaka 20. Na ukaamua kusafiri kwa mwendo kasi wa mwanga kwa mwaka1 alafu ukasimama. Utajikuta unamiaka 21, ila wenzako wana miaka 27.

Cc: mahondaw
heheheh mpwa!! duuuh kwa kweli umem cc mahondaw vitu vigumu sana japo ni bebiako,hahahah nahisi ushamvuruga huko aliko
 
Kuhusu hapo alipoelezea mkuu boniuso ngoja nikupe mfano rahisi labda utapata mwanga.

Hicho kipimo chako cha moyo kufanya kazi unahesabu mapigo 72-100 kwa dakika(sekunde 60) at a certain space(point) in universe. Sasa fikiria huyo binadamu akaweza kumove kutoka space moja kwenda nyingine in universe(spacetime)in the same fabric. Sio kwa sekunde moja(ambayo ni mapigo 1.6.....) ila chukulia kwa millisecond au nanosecond huo moyo utadunda kwa mapigo kias gani(~aprox 0) hivo basi mtu anaweza akaenda katika space nyingine na kuexist na kurudi akiwa kapitisha muda(time) mrefu ila umri ule ule(age) kutokana na muda wa kuhama kutoka space moja kwenda nyingine kuwa ndogo mno kuweza kubadilisha umr
mkuu nifafanulie hapo ni kwa nmna gani au kwanini ubongo wahangaika kipindi ukiwa wasafiri kwenda west?
 
Jiulize..Akisafiri kwa hiyo speed of light ataenda wapi!!??maana in solar system only earth supports life!!
ha ha ha.. mkuu ulimwengu ni mkubwa sana hata kasi ya mwanga inamilikiwa na space! pamoja nakuwa unakasi kubwa sana lkn hizi tambo zake zinatambia kwenye space.. kuna sehemu nyingi tu za kwenda na unaweza kutumia kasi ya mwanga na ukachukua muda mrefu tu
 
Hyperspace.jpg

Hii imekuwa ni moja kati ya dhana ambayo sijaielewa vizuri,iko hivi imekuwa ikisemekana kwamba mtu akiweza kusafiri kama speed ya mwanga unavyosafiri basi ataweza kudhoofisha/kusimamisha umri wake! means kama atasafiri kwa spidi ya mwanga akiwa na miaka 20 hata akirudi hapa duniani ikiwa imepita miaka 100 toka aondoke atarudi vilevile na miaka 20 bila kuzeeka!

sasa nachotaka mimi kujua ni nini kinaathiri mwili mpk umri usisonge..?
au ukisafiri kwa spidi ya mwanga nini kinatokea kwenye mwili mpk kusababisha umri usisonge..?

ni hicho ndicho nachokitakia ufumbuzi kwa anaejua anijuze ili nielewe,mengine tutaendelea kujuzana kadri mjadala utakavyokuwa

karibuni
Ni nani aliwahi kusafiri kwa namna hiyo na akapata matokeo hayo, au hayo uliyosema yana uthibitisho gani kuwa ni mambo halisi
 
Einstein theory of relativity:
There is so called Time dilation which is the time difference between the two events. Example, imagine uko mwenge Saa 2:00 inabidi ufike posta kwA muda wa Saa 2 kwenda na kurud hence Uend posta alf urud mwenge Saa 4:00 .clock moja umeiacha mwenge nyingine unayo mfukoni let's say una speed ya jet kwenda posta na kurud mwenge . Ukirudi mwenge utapata majibu haya kwenye Saa zako :
Saa uliyo iacha mwenge itakuambia Umetumia 2hrs hence now ni 4:00 which is exerctly.
Saa uliyo tembea nayo itakuambia kuwa Umetumia 1hr and hence yenyewe itakuambia now ni Saa 3:00. The difference in time ie time dilation btn the clocks is 4-3=1hr . In short clock in motion is slower than the stationary clock due to relative velocity and gravity difference btn the two clocks from the inertial frame of reference. If the relative speed is high let's say inakaribia speed ya light bas utegemee moving clock kutumia lesser time than the stationary one and this is the reason why astronauts in space will not get old easily due to that they are traveling with high relative speed when they return on earth they seem to use much less time than the one's who left on the earth....
.....


Mzee Bado au Unataka ipigwe Einstein theory of relativity yote?
Piga yote mkuu..
 
ni nadharia
Basi kwa nadharia tu unabidi usafiri ndani ya chombo cha namna gani sijui kwa sababu upepo utakaofuliwa kutokana na iyo speed unaweza kukuchanachana na hata ushahidi usionekane!!
 
Basi kwa nadharia tu unabidi usafiri ndani ya chombo cha namna gani sijui kwa sababu upepo utakaofuliwa kutokana na iyo speed unaweza kukuchanachana na hata ushahidi usionekane!!
Mkuu mambo mengi kwenye sayansi yalianza kama nadharia na baadae yakawezekana,kwa mfano zamani binadamu kwenda kwenye sayari nyingine ilikuwa ni nadharia ila leo inawezekana!!.......kwa hiyo usiipuuze nadharia hata kidogo kwa sababu binadamu anaevolve kila siku!........binadamu ana akili nyingi sana na inasemekana hadi sasa hivi binadamu hajaweza kutumia hata asilimia moja ya akili yake,je siku akiweza kuitumia yote asilimia mia moja atagundua mangapi????!
 
Basi kwa nadharia tu unabidi usafiri ndani ya chombo cha namna gani sijui kwa sababu upepo utakaofuliwa kutokana na iyo speed unaweza kukuchanachana na hata ushahidi usionekane!!
wanaweza kufanya hivyo kwenye vacuum
 
Mkuu mambo mengi kwenye sayansi yalianza kama nadharia na baadae yakawezekana,kwa mfano zamani binadamu kwenda kwenye sayari nyingine ilikuwa ni nadharia ila leo inawezekana!!.......kwa hiyo usiipuuze nadharia hata kidogo kwa sababu binadamu anaevolve kila siku!........binadamu ana akili nyingi sana na inasemekana hadi sasa hivi binadamu hajaweza kutumia hata asilimia moja ya akili yake,je siku akiweza kuitumia yote asilimia mia moja atagundua mangapi????!
Uko sahihi mkuu na nimekuelewa sana ila mwanzo nilikuwa sijakuelewa nilijua unaongea kwamba ni jambo halisi
 
Duu ndio Kwanzaa naiskia leo
Hahaaa pole mkuu..

Travelling back in time nilianza kuiona kwenye movie series ya THE FLASH

Hata ukiangalia kwenye movie kama Hujafuatilia vizuri huwezi kuelewa nini kinaendelea.

Vingine niligoogle changanya na movie ndio nikapata mwanga..[emoji23]
 
Back
Top Bottom