round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Natabiri haya
MAENEO
Kutakuwa na mikoa 48
Kutakuwa na majimbo 240
Kahama itakuwa na hadhi ya jiji
AJIRA
Kilio kikali sana cha ajira, Hiki tunachokiona sasa ni cha kawaida sana.
AI itakuwa imechangia sana kupunguza ajira
POPULATION
Kutakuwa na watanzania zaidi ya milioni 150
SIASA
CCM haiwezi kamwe kuja kutolewa kwa njia ya box la kura, kama kuna chama kingine kimeshika dola basi kwa kiasi kikubwa kuna uchaguzi flani watanzania waliamka kama walivyo na umoja kwenye mpira (Nguvu ya umma)
BIASHARA
Wachina watakuwa wamekamata sana masoko ya Kariakoo na mikoani, Hakutakuwa na haja tena ya kwenda kufunga mzigo China, Pale Ubungo lile jengo jipya ni mwanzo wa hii project.
WATOTO NA NDOA
Naliona ongezeko kubwa sana la ndoa kuvunjika, kuzikwepa ndoa na kuchelewa kuoa sababu ya kuongezeka kwa mwamko wa wanawake kutaka haki sawa na ishu za feminism. Pia natabiri system itaongeza kiasi cha wanaume kulipia matunzo ya mtoto kila mwezi (child support) hali itayochochea baadhi ya wanawake kwa maksudi kugeuza watoto kuwa mitaji. Yanayoendelea huko Ulaya yatafika huku